Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 4, 2010

HAPPY BIRTHDAY SLYVIA SHALLY.saa sita usiku wa kuamkia leo tarehe4\03 kulikua na surprise ya birthday party yake.

The greatest hii surprise ni noma.

slyvia,alpha a.k.a Pink,nr 40 katika birthday party.


Emmanuel myamba akiisalia keki huku Masoud Bitebo akiweka manjonjo katika msosi wake.

watu mbalimbali wakipata makulaji na manywaji katika ukumbi wa kisasa na V.I.P ukumbi wa GRM PRODUCTION-MWENGE.

Kila mtu alikula keki.

Mdau no.1 INNO BACHARD akilishwa keki.

Big designer,dunia nzima Masoud Bitebo nae akipata keki.

Pastor Emmanuel myamba hakua nyuma

The greatest akimung'unya keki kwa madoido

Suma akilishwa keki na slyvia

Pinki nae alipata wakati wa kuionja keki barabara

Hii ndio ilikua keki yake mtoto aliezaliwa tarehe kama ya leo,tunakutakia maisha mema na baraka.

Saguda George,Inno bachard,Swahiba na Maya kwa pamoja wakiangalia party inavyokwenda,Maya ndie alikua MC wa shughuli hiyo na aliipendezesha sana.

3 comments:

julie said...

mbona wewe mwenye blog hauonekani??? unataka kussema haukuwepo??? Noooooooooo!!!!!!!

Anonymous said...

tumesikia bibi anashikilia jimbo hilo hahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ataweza???????????????

walishindwa kina nags itakua yeye????????

yetu macho na masikio tumeyawaka tayari kusikia hadithi tam itakayofata baada ya miez kadhaa hapa mbele!!!!!!!!!!!!!!!!!

Neema said...

Ila the great unatudanganya nawakati hio suprise ulimfanyia wewe wala sio the greatest ili ulipize alivyokufanyia wewe mwaka jana, pole kwa kujidanganya ila jua penzi ni kikohozi kulificha huwezi, pia congratus kwani unajua kutafuta vitu vilivyotulia

Mrs Diana Salapu