Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 3, 2010

JINO LANGU NINALOLITEGEMEA KATIKA KUTAFUNA MANYAMA LILITOBOKA HIVYO IKANIBIDI NIMUONE DR.SEIF DAKTARI BINGWA WA MENO KULIZIBA NA KUSAFISHA MENO YOTE.

Kabla ya kuanza kupata matibabu nilipewa elimu juu ya meno na utunzaji wake kama mnavyoona hapo.

kazi imeanza ya kuziba jino langu ninalolitegemea katika kutafunia nyama.


jino linazibwa wakati mimi sisikii maumivu yoyote yaani ganzi ni kitu kingine kabisa.

hapa mdomo siuelewielewi kabisa sababu ya ganzi.

kila ukisafishwa unasukutua kwa dawa maalumu.

hapa jino limeshazibwa ila yanasafishwa meno yote kwa mashine maalum(scalling and polishing)

hapa meno yakipigwa polish ili yazidi kung'aa(polishing)kwa mashine maalumu.

hapa kazi ya kuziba jino na kusafisha meno(scalling and polishing)imekamilika nikiagana na DR.Seif.FAIDA YA KUSAFISHA MENO(SCALLING AND POLISHING)ni:=kuzuia kutokwa na damu ktk fizi,huzuia kulegea kwa meno,huzuia harufu mbaya mdomoni,hulinda meno na fizi nk.hivyo basi japo si lazima ila kiafya tunashauriwa kufanya scalling and polishing mara moja kwa mwaka ila kwa wale watumiaji wa sigara,tumbaku,ugolo,kahawa,tambuu,chocolate na wanywaji wa soda rangi nyeusi mnashauriwa kufanya hivi mara 2 kwa mwaka ili kuweka kinywa ktk hali ya usalama na usafi zaidi.


8 comments:

Anonymous said...

Wabovu wa meno tupo wengi,hivyo tafadhali tunaomba utuambie jina la hiyo hospitali uliyopata huduma.

Anonymous said...

maana ya kutoboka kwa meno ni kuwa jino lilikuwa chafu likasababisha vijidudu kulishambulia nashauri wakati wa kupiga mswaki uhakikishe kila jino linapitiwa na brash[mswaki]hasa huku mwisho kabisa kwa meno hakika hutoenda tena hospitali wala hutosikia meno kuuma kwaajili ya vitu vya baridi au sukari!

BQ said...

pole sana Kanumba hope sasa umepona nitafute jumamosi nikununulie nyama ya kuchoma, ha ha ha

Anonymous said...

Safi sana ni Elimu nzuri,na wale wenye tatizo la kunuka mdomo sasa wamepata njia ya kuepukana na kadhaa iyo

datty said...

coktpole, naomba utusaidie contant za huyo doctor tafadhali

Anonymous said...

kaka kanumba naomba nielekeze hiyo hospital ilipo na gharama zake meno yangu yametoboka nina maumivu nilikua sifahamu kama kuna polishing ya meno nijulishe kwa 0713-619999

Anonymous said...

Poleh kaka naomba kujua da Hospital location and second da cost of polishing na kusafisha plzzz

Anonymous said...

tunaomba utupe jina la hospital na eneo ilipo hata mie nasumbuliwa na meno.