Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 3, 2010

KAZI YA KUSHOOT FILAM SIO NDOGO KAMA WENGI TUNAVYOFIKIRIA....hasa wakati wa usiku wa manane nguvu ya ziada inahitajika kama Swahiba wangu anavyojitaid

Huyu ni Saguda George ndiye mpiga picha(still photo)wa RJ lakini hapa hali ilikua mbaya akaamua kama noma na iwe noma mbele ya bosi wake akauchapa usingizi laivuuuuu.

Irene uwoya na DR.cheni ndio waliongoza kwa kuuchapa usingizi katika shooting ya RJ COMPANY usiku wa leo ijapokua wamefanya kazi kubwa mchana kutwa hadi usiku wa leo.

Cheni amka bwana hii ndio kazi ulioichagua hii ni saa nane na nusu usiku.

Johari yeye akili iliganda kabisa mpaka director swahiba akatumia uwezo wa ziada ili kumrudisha katika hali ya kawaida kama mnavyoona hapo.

Sijui ni njaa au uchovu au vyote?pole chopa wa mchopanga ndio kazi ulioichagua.

Vijana hawa ni kama wanajeshi wanapochoka kidogo wanatiana moyo na kuanza kazi vizuri upya.hapa ndipo kazi ya director huonekana hapa.

irene uwoya ndie kaongoza kwa kuuchapa usingizi kisawasawa usiku wa leo katika shooting ya RJ.Pamoja na uchovu huu huyu dada ni moto wa kuotea mbali anafanya kazi sana.amka mama hii ndio kazi iliyokutoa cyprus.

3 comments:

Anonymous said...

Hey kANUMBA IGNORE da first comment use this ambayo haina jina,please,

I am in love with Dr Cheni ni mzuri alafu hana majigambo

Anonymous said...

Thanks Kanumba Ur da best

mariam said...

Dr Cheni kaoa