Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 16, 2010

KANUMBA THE GREAT FILM MZIGONI IKIANDAA KITU KIPYA KABISA.

Vijana wangu wakiandaa sehemu vizuri kwa ajili ya kushutia.

kazi ikitaka kuanza rasmi.


Patcho mwamba mwanamziki wa FM ACADEMIA nae yupo katika movie hii hapa anasoma script.


Hapa tukifanya mazoezi kabla ya kushoot.


Rehasal ya nguvu..


Mzee magali na mama mjata wakisoma script kabla ya kuingia katika setNikiwekewa lenzi za macho ili kuwa na mwonekano tofauti katika movie hii.
Kabla ya kuanza shooting huwa lazima tuanze na sala kumuita Mungu katika roho na kweli maana maadui ni wengi sana hapa duniani.

Patcho Mwamba na mimi,hii ni movie ya pili nashoot na patcho katika ujio wa KANUMBA THE GREAT FILM ambayo imeanza na THIS IS IT na hii jina litatajwa hivi karibuni.
hapo anasema hivi utu uzima dawa

Mambo ya sigar katika scene


Aunty Ezeckiel kama kawaida yake ni kufunika tu kwa kila uhusika anaopangiwa..hapa nikiwa nae katika scene hii ya kifamilia zaidi.

kazi ikiendelea...shukrani nyingi kwa GRM.

5 comments:

Anonymous said...

Sijaelewa hapa vizuri. unaanza kwa sala..je unamalizia kwa sala..? nimeona katikati unapiga sigar..

Anonymous said...

Mambo hayo, tunaisubiri kwa hamu.
Kazi njema na Mungu awatangulie.


disminder.

Anonymous said...

Kamua Lusubilo, onesha uwezo wakuda wabaki midomo wazi!....

kokusima said...

Mungu azidi kukubariki kakangu. Kipaji chako kizidi kudumu. mi moyo juu juu kuisibuli kazi yako. Hayo macho sijui yatafananaje lol! ngoja niwe na subira. Ongeza juhudi tu ndiyo maendeleo. Mungu ni mwema.

Anonymous said...

well done me bro Kanumba.....its an inspiration to whoever wannts to succeed. sikujua kama na wewe huwa unazama kiroho na kukemea... umenibariki kwakweli ila nimecheka saaaana! Ubarikiwe mpaka ujishangae'
mdau uk