Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 15, 2010

THE GREAT KAZINI...''MORE THAN PAIN''

KAZI KAZI NI KAZI NYUMA YANGU KUNA MASHABIKI WANGU AMBAO KWAO KUNIONA LIVE NIKISHOOT ILIKUWA KAMA SURPRISE SIMU ZAO ZIKAWA CAMERA

AAH MWANAUMEEEE

WANAUME TUMEUMBWA MATESO,KUHANGAIKA

POZI LA KAZI

NIKIPOKEA POSHO YANGU BAADA YA KAZI YA ZEGE KUMALIZA

NIKIJISAFISHA NIRUDI KATIKA HALI YA KIBINADAMU

BAADA YA KAZI NI CHAKULA...WALI,NYAMA,MAHARAGE NA MCHICHA...

14 comments:

Anonymous said...

Wera wereeeeeeeee duuh sijui ht niseme nn my brother Kanumba, hii movie naona umecheza ''more than pain'' inamaanisha kweli duuh mana sijawahi kukuona ukiect kubeba zege wala kuwa mwanafunzi wa sekondari, i wish itakuwa bomba ile mbaya!! Mungua akusaidie ukamilishe mapema nasi tuachek.
Furaha
Mabibo -DSM

Anonymous said...

kweli mzee unakamua hasa kaza buti kaka ila punguza mapenzi yasiyo rasmi kaka yangu nakukubali hasa

Anonymous said...

big up kanumba

Hadj Drogba "mwana chelsea" said...

Aaah!kaka umenikumbusha mtu wangu TX MOSHI WILLIAM (R.I.P.BROTHER),Hapo ulipochomekea kipande cha wimbo wake wa mwisho "wanaume tumeumba matesooo kuhangaika" asante sana kaka.

Anonymous said...

its gonna be a bomb i believe. kazi nzuri kaka

Ima (The Designer) said...

Hahahahaha kaka nime kuku bali.

Anonymous said...

KAKA KAZI TUNAISUBILI HUKU ARACHUGA, ILA KAKA MBONA HUKU ARUSHA KAZI ZAKO ZIPO NYINGI SANA ZINAUZWA KWA BEI CHWEEE YAANI VCD MTAANI INAUZWA SH. 2500 HADI 1500 KWELI WENYEWE MNALIJUA HILI AU? HOPE MTATEMBELEA MUWAONE WATOT WA HUKU WANAVYOZITEMBEZA MTAANI KAMA NJUGU.
Its me Johnson wa www.dogojohnson.blogspot.com

Anonymous said...

Kanumba & Team,
Hongera kwa kazi nzuri ya filamu mnayoifanya hapo TZ.

Langu ombi ni kama ifuatavyo...

Web security muhimu siku hizi, naona, on first visit kwenye ukumbi wenu, kuna pop-up ya kunikaribisha, Hii ni hatari kwa Internet usage, kwani wajanja wanaweza ku-install software behind the scene mgeni wako anapofika kukutembelea. najua hii sio nia ya Kanumba and team, na kwa hivyo sioni maana ya hiyo dialog message, kwani ndio ninataka, na ninatarajia kufungua hiyo page.

Kumbuka kuitoa please...

Chediel said...

kaka tonge hiloooooo duuuh kama kawaida yako anga hizooo unasema mtu hakutoi.Hongera sana

Anonymous said...

kanumba kazi mzuri sana lakini apounapochota zege ungejipaka kitukama poda kama hutakikujichafua namasmenti ili iyonekane kama umechafuka na smenti athawise kazi nzuri angalia wasikubebeshe masmenti yao mazito wakuumiza bure mtoto wa watu nawao ni vikomazi wamezoea na wewe ujazoea masmenyi yao

Anonymous said...

kwa kweli mi huwa nafurahia sana kazi za kanumba bila kuona kazi yake sipati raha ya ni kiukweli filamu za kibongo bila kumuona kanumba naona kama si filamu upo ju bro achana na maneno ya watu kaza buti kukusema kwao ndi kuongeza hasira zaidi katika kazi kip it up.(lily)

Anonymous said...

kaka uko juu Big up

by Zeddie

Anonymous said...

hongera kaka naona jina linazdi kukua tu, kp it up uschoke.

Anonymous said...

hongera kaka naona jina linazdi kukua tu, kp it up uschoke.