Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 18, 2010

THE GREAT NA WANANGU WA THIS IS IT...

patrick akiwa kazini katika more than pain kafanya makubwa katika this is it na sasa humu yumo

Nikiangalia rehasal yao

Patrique kazini

akiwa na uncle wake JJ.

Jenifa nae kanitembelea location kuona kazi ninayofanya na kaka yake patrick,nae namuandalia yake baada ya kuvunja rekodi katika This is it.

Jenifa na uncle jj

Ntamleta kwenu tena na kitu kingine hakika huyu mtoto kafanya kazi katika This is it hapa alinitembelea location ninaposhoot MORE THAN PAIN.

3 comments:

Anonymous said...

kwa kweli this is it nimeipenda sana ndugu, kaza buti yaani vitoto vimejitahidi kwa kweli hata anko jj ulinifurahisha hadi nikawa nacheka peke yangu ndani. Sarah

Do said...

Hallo Hongera sana yaani This is it Imetufurahisha sana maana wengine tupo vijijini huku mpaka itujie inachukua muda Lakini tumeipata, Hongera zangu nyingine ziwaendee hao watoto wamejitahidi mno kupita kiasi inafurahisha sana kila mtu anaitaka huku mtu anaingalia mara moja anataka arudie tena na tena na awe na copy yake mwenyewe. Kazi Nzuri Kila la heri.

Anonymous said...

kazi nzuri uncle jj big up