Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 24, 2010

ZIARA YA THE GREAT BURUNDI-BUJUMBURA

NIKITOKEA AIR PORT NILIKUWA NIKIKUTANA NA MASHABIKI WANGU NAMNA HII

HAPO NAITWA UNCLE JJ JINA NILILOTUMIA KTK THIS IS IT

WAKATI FULANI ILIBIDI KUSIMAMISHA GARI ILI NIONGEE NA BAADHI YA MASHABIKI HUYU BABA ALIKODI TAX IKIMBIZE GARI NILILOPO ILI ANISALIMIE

WATOTO NDIO MASHABIKI WANGU WAKUBWA SANA DUNIA NZIMA HAKIKA NAJIVUNIA HILI HAPO NAULIZIWA WAPI JENIFA MTOTO ALIYECHEZA THIS IS IT..

HII NDIO HOTEL NILIPOFIKIA

THE GREAT NIKIINGIA UKUMBINI TAYARI KWA KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WALIOKUWA WAKINISUBIRIA KWA HAMU

STEVE KANUMBA LLLLLLLLIVEEEE

THE GREAT STEJINI NIKIDHIHIRISHA KUWA SI KTT CAMERA TU HATA LIVE HUWA NIKO MAKINI

SEHEMU MOJAWAPO YA UMATI WA WATU ULIOFURIKA KUMUONA THE GREAT NA IRENE UWOYA

THE GREAT NA UWOYA LIVE STEJINI TUKIPAFORM BAADHI YA VIPANDE VYA FILAMU YA OPRAH AMBAYO INAPENDWA SANA HUKU...MFANO KILE KIPANDE CHA AAH CHURA..

HAPO NILITIA NJAA YANGU STEJINI MPAKA IRENE AKASHINDWA KUJIZUIA IKABIDI ACHEKE MPAKA AKAKAA CHINI KABISA

NYUMA YA STEJI ILIKUWA NI KUPIGA PICHA NA MASHABIKI

THE GREAT KAZINI..HAPO NILISHIRIKISHA BAADHI YA WAIGIZAJI WACHANGA WA BURUNDI PAMOJA NA MIMI HAKIKA WALIFURAI SANA KU ACT LIVE NA MIMI.

THE GREAT NA IRENE UWOYA MARA BAADA YA SHOW TULIALIKWA NA MHESHIMIWA FULANI JINA KAPUNI TUKAPATE MAKULAJI

THE GREAT NA SHEMEJI HAMAD NDIKUMANA KATAUTI MME WA IRENE UWOYA NAE ALIKUEPO

18 comments:

Anonymous said...

Waooo hongera kaka kwa kukonga nyoyo za watu, ila Irene avae nguo ndefu kdg jamaniiiiiiiiiiii

Furaha
Mabibo DSM

Anonymous said...

irene uwoya apoeckti na kanumba amevaa nguo fupi sana haipendi yuko uchi kabisa mbele kandamnasi ya watu tena changanyiko na watoto sijuii anafundisha nini na yeye nikio cha jamii tabia mbaya sana sio mpaka atembee uchi ndio aonekane star embu kaka yangu kanumba jaribu ku shauri avae nguo ndefu kidogo hata akivaa nguo za heshima atapendeza tu

Anonymous said...

Thumbs up Kanumba....i am far away from home but ....how can I order CDs za movie zako...una wakala Marekani?
Again thumbs up, kazi nzuri kwa kweli...!!!

Anonymous said...

mwaigoxKANUMBA U REAL GREAT.LOVE EVERYTHING FROM U..

Anonymous said...

love u kanumba

Anonymous said...

TUAMBIE BASI TUKIWA NJE YA NCHI TUTAPATAJE FILAMU ZAKO MAANA TUNASKIA TU,

daniel postol said...

Hello, Kifupi nikwamba tunapendezwa na kazi zako KANUMBA.big up kwa kuwaona nduguzetu hapo nchini jirani. Kuhusu Irene, Angejaribu kusikiliza maoni ya mashabiki wake, Tofauti nahapo atajikuta hana wa shabiki kwaajili ya hio mivalio yake sijuwi ya kisasa ao je!

Anonymous said...

Big up kanumba.

Anonymous said...

kanumba upo juu sana napenda filamu zako zote

Anonymous said...

much respect bro uko juu juu zaiid

Anonymous said...

Kanumba unatisha km Ukoma mdogo wangu! nina muda mrefu sijaona movie zako! Sababu ya kubeba box huku kwa Obama! hata hivyo bado nakufagilia kinoma! siku ikitokea unakuja tena USA plse, tuletee na DVD zako japo chache.

Sister Jibe DC

Anonymous said...

watu walidai Irene kaachwa kumbe bado wapo na shemeji? tunawaombea kila la kheri Mungu awajalie ndoa yenye furaha na baraka tele.

azza said...

whaoo!! the great Kanumba ni kweli weew ni great mmepemdeza sana yaani love everything of uaz my kaka...sasa tatizo lipo kwa dada irine nampenda sana huyu dada ila mbona anavaa nguo fupi sana kama hapo alipokaa chini ni kama amekaa uchi jamani mie najua huo dada alivo mzuri hata avae nini atapendeaza tuu basi naomba umwambie abadili mavazi kuendana na location alioko hope she will look batter as usual.

Anonymous said...

hello bro kanumba mimi ni abdallah mbonabona utanipata hata facebook ku jina hili hili mi ni shabik wako mkuu burundi na mimi ndio huyo hapo kupica tumepiga ni kikaa kati yako na ray nikiwa na suti ya black kwa kwele ongera nasana kwa kazi zako hasa movie zako zaidi yakuwa n uzuri zinazinduwa jamii kwa mambo yakawaida kwa hiyo welcom again in burundi

Anonymous said...

hello bro kanumba mimi ni abdallah mbonabona utanipata hata facebook ku jina hili hili mi ni shabik wako mkuu burundi na mimi ndio huyo hapo kupica tumepiga ni kikaa kati yako na ray nikiwa na suti ya black kwa kwele ongera nasana kwa kazi zako hasa movie zako zaidi yakuwa n uzuri zinazinduwa jamii kwa mambo yakawaida kwa hiyo welcom again in burundi

Anonymous said...

napia namba zangu za simu ni +257 79 990 984 ao tumia voda +255 754 833 756 kwa hiyo nakualika urudi burundi mimi ni shabiki wako mkuu

Anonymous said...

yakhee usisahahu hizo namba nimetuma na ile adress ya facebook na email mbonabona@yahoo.fr nini mimi abdallah mbonabona managing director wa a multinational company called caspian burundi company unanikumbuka bila shaka juu niko na partner wa mfanya biashara mkuu wa bongo

Anonymous said...

NAM soory kidogo yani nimekosea hapo kupica nimeketi kati yako na irene uwoya siyo ray, naomba nieleweke vizuri ni mimi abdallah mbonabona