Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 22, 2010

HAPO VIPI??THEGREAT KAZINI..AHAHAH MORE THAN PAIN

NIKIKIPENDEZESHA KIATU ILI MTEJA WANGU ANG¨¨AAE BWANA

WASHKAJI WAMEPITA KUNITEMBELEA KIJIWENI

5 comments:

misswhite said...

hongera baba na kazi nzuri!

tunasubiri picha kutoka bunjumbura ulikoenda kwa mualiko wewe na irene uwoya!

misswhite said...

hongera kaka kwa kazi nzuri!

ningefurahi ukapost picha nyingi za huwo mchezo wako mpya wa "more than pain" na vipi kuhusu ule mchezo wako wa white maria naona kimya

Anonymous said...

naisubiri kwahamu mimi ni mdau wako mkubwa, this is it imekimbiza sana uko juu tanzania hakuna wakukufikia huo ndo ukweli.

Do said...

Hallo hongera inaelekea more than pain itakuwa bomba sana tunaisubili kwa hamu. Hivi white maria imeshaanza kuuzwa madukani?. nina ombi film zikianza kuunzwa madukani naomba tutangazie basi hapa maana wengine tunakaa mbali sasa unatuma mtu aende kariakoo kwenda kuangalia kama imeshaanza kuuzwa anaenda rudi inaleta kajiusumbufu. Kila la heri kazi njema.

Anonymous said...

kaka kanumba uko juu mfanowe hakuna