Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 28, 2010

PASTOR MYAMBA NDANI YA MAREKANI-MICHIGAN.

msanii mwenzetu E mmanuel myamba a.k.a pastor myamba ambae mara nyingi huigiza kama mchungaji kitu ambacho watu hudhani ni mchungaji kweli yuko marekani kidogo kwa mapumziko mafupi...

4 comments:

Anonymous said...

Sasa inatusaidia nini kama yupo marekani mbona kawaida tu acha ulimbukeni

Bazizane said...

HUYO MTOTO MATAWI KOKOTE ATAKAKO ANAKWENDA WELL DONE MAMA ROSE KEEP IT UP THE FAMILY IS SHINING
FAMILIA IKIWA NA UPENDO NI RAHA SANA NA MATUNDA NDIYO KAMA HAYO

Do said...

Likizo njema Myamba Michigani. Jamani mimi nakupa hongera sana maana dah kila film mie nikisikia upo mie lakima niinunue maana Unajua sana kuongea kaka Myamba. ukiongea haijionyeshi kwamba mistari umeikalili maana kuna baadhi wakiongea kama ngojela. hayatoki maneno kama wanaongea kawaida. Hongera sana sana maana film ya mwisho niliyokuona ni This is it.Umefanya kazi Nzuri.

Anonymous said...

big up kaka!! mungu azidi kukubariki kwani unaitenda haki fani yako,,,u real rock my brotha niiona movie inamhusika pastor na isipokuwa wewe basi huwa sifikirii kama nitakachokiona kwenye maombi kitakuwa na uhalisia ila kwa weewe kaka full maombi yaliyo na uhalisia tupo pamoja nakukubali sana.