Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 26, 2010

THE GREAT NDANI YA AFRICA KUSINI...

SAMAHANI JAMANI KWA KUTOWAAGA,NIKO SOUTH AFRICA KIDOGO KATIKA SHUGHULI ZANGU ZA HAPA NA PALE HIVYO SIJAPATA MDA WA KUWAHABARISHA MAMBO ILA NIKIPATA NAFASI NITAFANYA HIVYO PAMOJA NA PICHA...JANA NILIKUWA JOHANNESBURG NA LEO NIKO DURBAN NA NTAKAA KWA SIKU KADHAA KABLA SIJAELEKEA JOHANNESBURG TENA.CHEERS.

3 comments:

Chediel said...

Kaka uje na Vuvuvzela moja POOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO...Pooooooooooooooooooooo

nelychance said...

kazi njema kaka kanumba tunakupenda sana na tunakuombea mungu urudi salama na ufanikishe kila unalo kusudia kufanya
mdau holland

Anonymous said...

Hapo ndio tunapokutofautisha na swahiba the greatest au wacheza filamu wote bongo endelea kaka na umwombe Mungu sana mdudu shetani akae mbali nawe. Noa quality za movie zako noa lugha jifunze hata kifaransa na kinigeria etc basics kama unaweza tafuta kitabu cha sydey poitier uangalie alifanyaje katika harakati za kuigiza hadi akawa muigizaji wa kuheshimika. Soma vitabu mbali mbali uwe na maarifa nimeshakuona utafika mbali mdogo wangu.