Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 4, 2010

SIHUSIKI NA HUU UPUMBAVU,SIHUSIKI NA HUU UJINGA TAFADHALI WEWE MUHUSIKA UNAYETOA HABARI HIZI NIACHE.

6 comments:

Anonymous said...

Kanumba bro!, pole sana kwa yanayokusibu....watu wa namna hyo wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya wenzao wapo wengi sana, mie naomba nikukumbushe tu mpendwa wangu, kwamba ur very famous figure(celebrity) in our growing country - na hilo halizuiliki bila shaka unalitambua, ila usisahau kwamba kuwa celebrity kuna changamoto kadha wa kadha mbele yako, hiyo hapo juu ni moja wapo, kuharibiana na kuchafuana ktk vyombo vya habari. Chamsingi ni kuendelea kumuomba mungu akupe ujasiri ili ukabiliane nazo, never give up, piga moyo konde na sema maneno haya : nayaweza mambo yote ktk yeye anitiaye nguvu, Filipi 4:13. Ni mimi mdau/shabiki wako - Delhi, India

Ima (The Designer) said...

kaka hapa mjini kila m2 ananjia zake za kutafutia umaharufu na bila kujali kuwa maybe anakuumiza au la. Pole kaka na hongera kwa kutumia busara ktk hili.

Anonymous said...

Pole kanumba hawa global publishers naona wamekuandama kweli.we funga kioo mguu kwenye bati.Prince Dello

Anonymous said...

piga kazi mkaka wewe ni star wanataka kupita mgongoni mwako nani huyo mbona hajulikani mjini dida

Anonymous said...

pole sana Kanumba hiyo kawaida wala isikutishe we kaza buti tu watachoka wenyewe!
waonyesha kwamba hapa ni mwanzo mwisho bado

Anonymous said...

wala usikonde unapoandikwa ingawa inaumiza ila hawajui kuwa ndio wanakuongezea mashabiki kila siku maana wengine hawakujui wakisoma hapo wanatafuta kazi zako wanazinunua wala usikonde kaa kimya mwisho wa siku watachoka wenyewe