Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 11, 2010

THE GREAT NA ROSE NDAUKA KATIKA ''MORE THAN PAIN''

Hizi ni baadhi ya picha za movie yangu ninayoiandaa kwa sasa ambayo ndani yake yumo Rose ambae sijawai kucheza nae movie moja hadi hii ndio inakuwa ya kwanza hakika ni mkali sana. Hapa akiweka jokes kidogo ile style ambayo mimi na swahiba hupenda kucheza

yeeeeeesss

nice

mmmh

14 comments:

Anonymous said...

nnaendelea kuzungumzia swala zima la uvivu wa haraka ya kutoa kazi bila subira,embu angalia shati umevaa pale chini ndani wakati unambembeleza mtoto sijui then hapa pia umevaa hilo hiloshati kwenye harusi,na muwe na ma stylish jamani mchukue hata mustafa hasanali akupangie mavazi ya kuvaa,kwamba kwenye harusi unatakiwa uvae suti gani,kwa sababu mnataka kulipua kazi unakwenda ku-act kwenye wedding umevaa shati la kushindia la mistari na tai inamaua maua,SI HAKI JAMANI mnadhalilisha Bongo subirini wanjanja wa mujini waingile fani yenu ndo mtatia akili

BQ said...

wow yaani mlivyopendeza utadhani ni harusi ya ukweli aisee bomba sana Kanumba inaonekana siku ya harusi yako yenyewe yenyewe utapendeza sana.

Anonymous said...

wewe ni mkali lakini punguza sana mapenzi kwa sababu movie zako nyingi unaact kihivyo mwishowe unaoneka mwisho w asiku kuwa unatembea na hao wasanii, isitoshe movie zenu ni nzuri tatizo huwezi kuangalia n awatoto mambo ya mapenzi yanakuawa sana hasa mkiwa mnaact na Aunt Ezekiel na Irene Uwoya.Ila picha uluyoact na watoto ni nzuri sana. bigup

Ima (The Designer) said...

kaka naona mtoto jicho si mchezo, Good job nasi twaisubili kwa hamu sn hiyo movie.

Anonymous said...

kanumba kaka yangu nakupenda sana na ninapenda movie zako kitu nakushauri tu sasa tafuta mwenza muweze kuishi pamoja kwani umri umetimia na maisha kwa upande wako sio mabaya ukiowa utazidi kuheshimika zaidi kwani ujana ni kama moshi tafuta mwenza mfunge ndoa uwepukane na vishawishi vya dunia na magonjwa mengi sikuhizi

Mwakapesa jr said...

Kaka hakika wewe ni mkali mzee nguo zinakukaa sana hongera brother but ongeza bidii kaza buti hata filamu zako zinaeleweka;kelvin mwakapesa hapa mdau namba moja wa the great kanumba

Anonymous said...

Huyu binti mzuri khaaaaa!

Anonymous said...

KWA MAONO YANGU SO FAR, ROSE KAMA HANA MPINZANI VILE KWA UZURI(CUTENESS)

Anonymous said...

lkn gud in that muv loos like u guys ur srerius getting married

Anonymous said...

kwakweli mmependeza naomba na movie ije ipendeze hivyohivyo, big up

Anonymous said...

mmpendeza sana nakuaminia mdogo wangu rose familia yetu inavipaji vya ukweli dadako nakamua redioni wewe pigiza uko mama haya kanumba oa kweli nimekupa bureeeeee uko juu dida wa times

Anonymous said...

mmpendeza sana nakuaminia mdogo wangu rose familia yetu inavipaji vya ukweli dadako nakamua redioni wewe pigiza uko mama haya kanumba oa kweli nimekupa bureeeeee uko juu dida wa times

Anonymous said...

mambo star wetu!ushauri wangu naona kama age imeenda?so i just advice kuingia kwenye family matter now,usitake kusema bado upo upo kama mwanaFA.

Anonymous said...

Kanumba umependa sio mchezo, ln kupata jko au ndo sanaa inazonga