Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 8, 2010

KANUMBA THE GREAT FILMS MZIGONI KWELIKWELI

Maandalizi ya scene ya nje

The great na Lisa Jensen katika scene

Baada ya scene picha ya pamoja

Mtoto akiandaliwa kwa kuwekewa damu kabla ya kushoot

Ajali ajali

The great nikihaha baada ya mwanangu kugongwa na gari

Nini hiki jamani?ooh

Nilitembelewa na mdau mkubwa wa RJ COMPANY na KANUMBA THE GREAT FILMS mheshimiwa Ino Bachard.

Kishindo cha gari kilitushtua ikabidi tutoke nje kuona kumbe mwanangu chali

The great na Mheshimiwa Ino Bachard aliponitembelea location kwangu.

6 comments:

Anonymous said...

mimi nakushauri kaka ungejiita tu Kanumba The great its not professional name at all,let us choose the name for you au sio STAR Wetu wa Bongo,pia jitahidini kuwa tofauti katika kila filamu,zingine nyoeni kipara kabisa,zingine fugeni ndefu,na zingine nyingi acheni kuweka mawave yenu jamani iyo ndio kero yetu sisi wadau wa ukweli
nafikiri utaonekana smart sana na natural nywele zenu

Anonymous said...

nakukubari sana kanumba.naelewa ww ni kijana na umri wako unaruhusu.sisi kama mashabiki wako tunakuhitaji pamoja na taifa zima.ila mademu watakua kaka yangu haswa huyo silivia miss nu 5 au miss ilala hamna kitu kabisa.nilishamshudia mara kibao akibebwa na mtu fulani mwenye pesa zake na ana jina kubwa tu..kama unapenda mademu weupe bora umuoe lisa jensen coz mnapendezana..achana na silivia kwanza weupe ndio unamsaidia tu.ni ushauri tu ukitaka fanyia kazi usipotaka acha

I like u'r movies na jinsi unavyoigiza kwa hisia but you know what!jaribuni kupaka mafuta ambayo yatawafanya mbaki na natural colour zenu na kuwa soft badala ya kutumia cream.Ni hayo tu kwa leo but all in all wish u all da best and keep it up!

sophia mkumbo said...

honger kaka wewe ni mkali zaidi ya wakali bt nina m2 namfahau huku uswazi anajua kuact vizuri ila hajapa m2 wa kumtoa kama iko poa kaka mtoe

sophia mkumbo said...

uko juu brother ila naomba uendelee na moyo huohuo wa kuinua vipaji