Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 9, 2010

KANUMBA THE GREAT FILMS KAZINI KWELIKWELI.

Nikiipitia tena script vizuri sana kabla ya kuanza kushoot

Tukishirikiana na Lisa Jensen katika baadhi ya mistari kuinyoosha kulingana na location


Nikisikiliza line za mtoto katika script kama kashika

Tukimshangaa mtoto jinsi alivyokariri mistari yake katika script

Ebu tizama hisia za huyu mtoto mdogo anafunika hata watu wazima.

Maya akini make up...maya ndiye make up artist wangu na production manager wa kampuni yangu.

Ally Yakuti mwandishi wa script ya movie hii akisikiliza kwa umakini rehasal inavyokwenda kuona kama script yake inatendewa haki

Mzee Zungwa na Mama Grace Mapunda nao wamo katika movie hii ya MORE THAN PAIN

Baada ya rehasal sasa makamuzi..

Kama kawaida yangu The great kuibua vipaji vipya hasa watoto kama nilivyofanya katika THIS IS IT mtizame na huyu mtoto ambae ki umri ni mdogo sana ila check alivyowiva

Tizama mwenyewe laiti ungeona live wakati wa kushoot ungelia kama wengine walivyoshindwa kutizama na kubaki wakilia..huyu mtoto kaliza sana watu hapa location

12 comments:

Anonymous said...

USHAURI KWA KANUMBA.
Jitahidi kuweka interval ya muda kati ya kazi moja na nyingne,usitoe kazi mfululizo kiasi hicho,uwe unaacha filamu moja ikae sokoni walau miezi sita ndipo utoe nyingine hii itakusaidia kufanya analysis mbalimbali ya kazi yako sokoni,na pia utawafanya mashabiki wako wawe walau wanakumiss kidogo hata unapotoa kazi nyingne wanaitafuta kwa hamu.
Hii itakusaidia wewe kudumu kwenye fani muda mrefu bila kuchuja.
Faida ya kutoa kazi mfululizo ni ya muda fupi ni siyo ya muda mrefu.
Jitahidi kuzingatia hili for ur lifetime achievments,hayo makampuni mnayofanya nayo kazi yasiwa over-use.
Nihayo tu kwa leo.
BE BLESSED.

Anonymous said...

kanumba acha uvivu hizo sendos zako tunazijua kila siku unazivaa kwa nini umezivaa kwenye movie,mnaboa sana kwa kulipua ninyi wasanii

sleekjack said...

kaka nakukubali..keep it up

Anonymous said...

tuseme unamchunguzanga sana tu wewe kweli uko chin maana aliyekuwa juu kumuangalia aliye kuwa chin ni kazi mhmh wewe ni noma yaan hadi viatu haha kweli kazi hauna acha mambo kmba hayo songa mbele kanumba

Anonymous said...

tuseme unamchunguzanga sana tu wewe kweli uko chin maana aliyekuwa juu kumuangalia aliye kuwa chin ni kazi mhmh wewe ni noma yaan hadi viatu haha kweli kazi hauna acha mambo kmba hayo songa mbele kanumba

Anonymous said...

Jamani Maya ndio nn kunenepa hivyo jamani my dia khaaaaaaaaaaa. Njaa ikija tanzania ndio nyie mtaanza kuliwa nyama utazeeka my dia punguza msosi

Anonymous said...

kweli ukweli lazima kusema,wacha kumpa sifa ambazo sio sahihi,hizi sendoz kapiga nazo picha sana humu humu kwenye blog yake,wewe unaonekana sio shabiki wa kweli,au ni wewe kanumba umejiandikia mwenyewe,shabiki wa kweli kama mimi ninayenunua kazi zake kila zinapotoka uwa tunaona mengi kuliko wewe unaye pitia blog tu humu.
na kama unaangalia movie nyingi za mtu unagundua mavazi yake,
na kama unataka maendeleo kwa star u better tell him ili abadilikie,
kama swala la kuweka dawa linavuonichosha,kila movie mwanaume kaweka dawa tena zimekoozaaaaaaa.
lol tunawapenda sana lakini mbadilike kwenye kila movie na nguo mnazozivaa mtaani msizivae kwenye movie.kama haujaipenda ipotezee

mrembo said...

Anony wa June 9, 2010 7:15 PM
Unajua maana ya u super star? ukiwa s.star tunakuangalia from top to toe. na sio kuishia kuangalia tu tunavikariri vyote unavyo vaa. sasa unaposema tunamchunguza unakosea kama alikuwa anataka watu wasimuangalie asingechagua kazi hii anayoifanya. hiyo ndio price for being super star.

Anonymous said...

mmmhhhhhhhhhhhh!m2 wangu umezidi hata viatu vya mtu unakariri?duh!ndio maana watz hatusongi mbele badala ya kufanya mambo ya maana tunakaa kumaindiana,acha hizo,usitaarabu hauuzwi hata kama hujazaliwa nao jaribu kuiga hata kwa washikaji kitaa.kanumba mpotezee huyo asije kukuharibia cku bure.

Anonymous said...

.
Hee hata viatu alivyovaa unamchunguza ndiomaana hatuendelei sie waswahili.hee hata viatu a

Anonymous said...

Sasa yeye akale wapi ? na hio ndio kazi yake

Anonymous said...

Jamani kumbe Ali Yakuti ni hensome Kanumba naaomba uniulizie hanamke nimuozeshe mwanangu