SAMAHANI JAMANI NILIONDOKA BILA KUWAAGA KIFUPI MIMI NA MSANII MWENZANGU IRENE UWOYA(OPRAH)KAMA ANAVYOITWA HUKU BURUNDI TUKO HUKU BURUNDI KWA MWALIKO MAALUM WA MAONESHO MAWILI YAANI LEO JUMAMOSI KTK UKUMBI WA BAMBULA NA KESHO JUMAPILI.NIKIPATA MDA NITAWAWEKEA PICHA NA HABARI YA YANAYOJILI HUKU.
2 comments:
wow hey tell me storie about bujumbura that is my home town yall my mom family are ther i miss bujumbura i went their in 2004 then i went back to tanzania and i came to america plz great every people of there ohhh god bless yall two irene and steven just have a wonderful travel
Ebana mbona tumeachwa kwenye mataa sasa ? umetuahidi kutueleza kwa picha kinachojili huko Bujumbula sasa vipi mpaka sasa mbona umeshatua bongo ?na bado hatujaona chochote cha huko uliko kkuwa?????
Post a Comment