Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 11, 2010

THE GREAT OFISINI KWA MHESHIMIWA RITA MLAKI

Leo nilipata fursa ya kumtembelea mheshimiwa mbuge wa kawe mama Rita Mlaki ofisini kwake na kuongea machache kuhusu kazi zetu,katika safari hiyo niliambatana na production manager wangu MAYA....Katika mazungumzo yetu mheshimiwa alisifia kazi zangu nilizoshafanya kama OPRAH na HERO OF THE CHURCH.Hakika nilifurahi kupata nafasi hii ya kuongea japo kidogo na Mheshimiwa Rita Mlaki. Baada ya mazungumzo tulipiga picha ya pamoja kama hivi

Production manager wangu Maya nae hakuwa nyuma katika picha kama unavyomuona hapo katikati

The great na mheshimiwa

mheshimiwa mbuge wa kawe Rita Mlaki,Maya na The great pioneer

Akielezea jambo hapa

Haya kwaherini wanangu nimefurai sana leo kuwaona live maana nimezoea kuwaona katika TV tu na Africa magic plus tu.

2 comments:

Anonymous said...

hizi nguo unazipenda sana mdogo wangu fire ex.unakuwa nayo kwa ajili ya moto unaweza ukawaka

angeltenga said...

UNAFANYA VIZURI SANA KANUMBA,KITU NINACHOKIHESHIMU KUTOKA KWAKO NI KUONA KWAKO MBALI NA KUOVERCOME CHALLEGES , NAKUOMBEA NAJUA UTAFIKA MBALI USIMSAHAU MUNGU KWANI NDIYE ALIYEKUFIKISHA HAPO ELIMU PIA NI MUHIMU SANA HATA KAMA UKO BZY JITAHIDI HATA KUJIENROLL NA VYUO VYA KWENYE MTANDAO MI NAAMINI KUNA SIKU TUTAKUONA HOLLYWOOD, U WERE BORN A STAR!!