Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 4, 2010

KANUMBA THE GREAT FILMS MZIGONI TENA NA KITU KIPYA ''MORE THAN PAIN''

ROSE NDAUKA MMOJA WA WASHIRIKI KATIKA HII FILAMU YANGU MPYA

ROSE NDAUKA AKIKAMUA KATIKA SCENE ZAKE

HUYU MTOTO KAANZA KUONESHA KIWANGO CHA AINA YAKE MAPEMA

KAZI IKIENDELEA

THE GREAT NA ROSE KATIKA SCENE ZA UGOMVI

11 comments:

Anonymous said...

Rose Ndauka umelolewa?mmhhh unanimaliza...

Anonymous said...

big up for your great job, ila naomba mjaribu kupiga picha ambzao zitakweza kuangaliwa na familia nzima kwa pamoja yaani baba, mama, watoto na hata wakwe maana kuna baadhi ya movie zenu zinatia aibu na hali hiyo imesababisha wengine tushindwe kabisa kununua kazi zenu coz tunhofia kufedheheka mbele ya watoto. once again kazi nzuri and i aprriciate it

Anonymous said...

mkaka kwanza nakupa big up katika kuendeleza libeneke la filamu tanzania...

hakika tanzania tupo nyuma sana katika ulimwengu wa filamu lakini kwa kazi mnayofanya mnajitahidi sana na tutafika tuu hata kama itatu take 100 years ila tutafika

pili katika pita pita yangu naona kama mlipewa ushauri na mzee mmoja kutoka ughaibuni kwamba muwe mnatumia kiswahili katika ku name movie zenu...sasa mkaka "more than pain" vp hapo..
mdau japan

Anonymous said...

INAELEKEA ITAKUWA BOMBA SANA, INATOKA LINI? KILA LA KHERI KAKA

Mimi said...

INAELEKEA ITAKUWA BOMBA SANA, INATOKA LINI KAKA? KILA LA KHERI.

Anonymous said...

hallow kanumba
tunashkuru sana kwa kutuletea vitu vizuri lakini jamani tumemchoka huyo rose jamani katoka kwa ray mara kwako, hakuna wasanii wengine?
hatukatai anakiwango lkn tumechoka nae,

kwa ushauri tu
mdau

Amina Zangira said...

hellow kanumba wewe mkali ile mbaya naisubiri young millionea kwa hamu kama this is it imetisha kiasi kile uncle jj uko juu kaza buti.Amina Zangira

Anonymous said...

Rose Ndauka...umeolewa wewe kiumbeeee??

Anonymous said...

Halow my brother! hope upo shwari ukiendelea na mapambano ya kila siku, naona mzigo huo wa MORE THAN PAIN utafunika kama ule wa THIS IS IT daah wale watoto walinifurahisha sana wamefanya vizuri kuliko kawaida, ila swali langu ni hili, hvi ni kwanini hawa waigizaji wadada wanavaa nguo fupi hivo? sometime tunakuwa tupo na wazazi tukicheck filamu so inakuwa noma brother, wajaribu kuvaa asili ya mtanzania ili kila mtu aweze kuchek movie kwa uhuru. thanks. ni mm mdau wako,
Furaha DSM Mabibo

ROSE NI MWISHO WA RELI, SIJUI KAOLEWA AMA, HALAFU ANAONEKA NI RESPONSIBLE WIFE TO BE! HAPENDI U-PUBLICITY KM WENGINEO (SI VYEMA KUWATAJA HAPA), HUMBLE GAL!