The great nimesharudi bongo ambapo kwa takribani siku kadhaa nilikuwa mjini Nairobi-Kenya nikirekodi tangazo la ZANTEL,na hizi ndio picha wakati nikirudi.
The great na Boby aliyekuwa msimamizi wangu wa shughuli nzima
Baadhi ya models waliokuwapo nao wakirekodi matangazo mengine kuanzia kushoto EVA,IMACULATE,MZEE MWAKYUSA
Eva model
Imaculate model
Michael model
Kenny,Zamda na Michael
Ndege tuliyokuja nayo
5 comments:
huyo zmzam anapenda kuvaa skin tight mpaka anaoa habadilikitangia malapa jamani
big up zamzam....hata akivaa chupi wewe inakuhusu nn??mind ur bisnes
hata akivaa chupi haikuhusu wewe paka
nimempenda michael model, nipe namba zake au wapi anapatikana ? plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
nimempenda michael model , anamuonekano mzuri sana [mvuto]
Post a Comment