Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 10, 2010

BONGO MOVIE YANITEMBELEA LOCATION KWANGU

Joyce Kiria wa kipindi cha bongo movie kinachorushwa na EATV,akiwa na timu yake kanitembelea location kwangu ili kunihoji juu ya movie yangu mpya iliyotoka ya More than pain,kujua ni kwanini imewabamba watu sana nikamwambia aje location kwangu ninaposhoot UNCLE JJ kuona jinsi nikiwa kazini
2 comments:

jones said...

Joyce u look so msichana. utafikiri una miaka 12. wala nnini mwenzetu. Jones

jones said...

Joyce u look so msichana. utafikiri una miaka 12. wala nnini mwenzetu. Jones