Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 4, 2010

THE GREAT ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO

The great niliamua kutembelea kijiji cha makumbusho kuona asili yetu kama kawaida huwa nasema napenda sana ADVENTURE The great nikikizunguka kijiji

Kwa raha zangu

The great huyooo

Nikamaliza ziara yangu kwa kutizama ngoma za asili

Kwa umakini nikitazama,nikikumbuka enzi zile kaole sanaa group tulikuwa tukicheza ngoma hizi

Hakika nimepata burudani ya nguvu

1 comment:

Anonymous said...

dats so nic,t influence we tanzanians 2 visit our historical sites2 motivate our indoor tourism.........i do luv yo movies