Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 21, 2010

SHIRIKISHO LA WASANII WA FILAMU TANZANIA NA BONANZA LAKE VYAZINDULIWA RASMI

Lile shirikisho letu la wasanii wa filamu(TAFF)juzi jumamosi leaders club lilizinduliwa rasmi baada ya kusajiliwa na basata hivyo kutambulika kisheria,kwetu wasanii wa filamu tumejivunia kuwa na umoja huu wa nguvu kwani utatufanya kuwa na sauti moja ya umoja. Raisi wa shirikisho MR.Mwakifwamba au Gasper akitoa hotuba fupi kwa wasanii na mgeni rasmi

Sehemu ya meza kuu wakimsikiliza Raisi wa TAFF

Mgeni rasmi akipiga ngoma ishara ya kulifungua rasmi bonanza na shirikisho hili

Mzee Kipara na mwasisi wetu katika maigizo nae alipewa nafasi ya kutoa machache juu ya shirikisho letu hili

Burudani mbalimbali zilikuwepo toka kwa wasanii wa fani mbalimbali

The great nilikuepo sambamba na Dinno

Hapa nilikua nikitaniana na swahiba kidogo umati wa watu ukatujalia kwa wingi

3 comments:

Anonymous said...

Dinno na wewe kitambi jamani hebu punguza mapochopocho

Anonymous said...

Hongera sana Kanumba kwa kuonesha upendo kwa wasanii wenzako na hata ktk jamii pia napenda sana unavyo igiza, halafu kwanini Ray anapenda kugeza kazi zako?

Anonymous said...

Hongera sana Kanumba kwa kuonesha upendo kwa wasanii wenzako na hata ktk jamii pia napenda sana unavyo igiza, halafu kwanini Ray anapenda kugeza kazi zako?