Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 12, 2010

UNCLE JJ NI MWENDO MDUNDO

Matukio yaliyomo katika movie hii ya Uncle jj baadhi ni kama haya.. Uncle jj akipiga mkwara


Adhabu hiyo,juu chini juu chini

Jenifa na Patriq wakijadiliana jinsi ya kukabiliana na Uncle jj

Jenifa akisisitiza jambo

Katikati ya maongezi mara ndege ikapita ikabidi waishangae kwanza

kwake ni mwendo wa manati tu

Malkia wa pori

Uncle jj akimtembelea swahiba wake kijijini Patcho Mwamba

Maswahiba wawili kijijini wakiteta jambo

Patriq kaja nyumbani kwa Patcho kuomba msaada fulani

6 comments:

Adela Dally Kavishe said...

daaah hii filamu unaonekana itakuwa balaa maana...inaonyesha watoto wako makini na kazi big up Kanumba

Anonymous said...

Kanumba nimeangalia movie ya Uncle JJ nimeipenda sana ,lakini haya matukio ya hizi picha mbona hayapo kwenye hiyo movie ,,Kilichoko kule na picha zako ni vitu viwili tofauti..
otherwise movie ni nzuri nimeipenda nimecheka mpaka nikachoka mie mdau wako
Big up sana

Anonymous said...

Hawa ndio watoto sio wale machangudoa anaowaweka swahiba wako Ray, alafu anawaita watoto

Anonymous said...

Kanumba, mimi nakukubali sana mdogo wangu. Keep the good work up. Nafarijika sana kuona haututii aibu, siyo kama 'swahiba' wako anayedai kuandaa filamu inayohusu watoto na kukishirikisha kile kibinti kimalaya. Tafadhali endelea hivyohivyo na ninakuombea yote mema.

Anonymous said...

Pls not Patriq, damn it's Patrick. Hata majina yanakushinda???????????

Anonymous said...

Pls not Patriq, damn it's Patrick. Hata majina yanakushinda???????????