Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 4, 2010

THE GREAT ATEMBELEA MADUKA YA VINYAGO MWENGE

Leo nimetembelea maduka ya vitu asili na vinyago maeneo ya mwenge nikiwa natafuta kitu fulani kwa ajili ya shooting ndipo nikakutana na mashabiki wangu nao kwa furaha wakanipa zawadi mbalimbali kunipa pongezi kwa kazi zangu. The great na mama Flora aliyenipa zawadi ya viatu(open shoes)mama huyu anaitwa mama Flora jina la mama yangu mzazi


Ikabidi nami nimuunge mkono kwa kununua picha ya ukutani kama pambo

Gafla alitokea shabiki wangu mwingine aliye upande wa kushoto wa picha na kunipa zawadi ingine kama mnavyoona hakika nawashukuru sana mashabiki wangu Mungu awabariki

Niliitwa katika duka lingine la mama baby au Marietha pichani nae baada ya kumuungisha kwa kununua picha asili nae alinipa zawadi ya hicho kinyago pichani.....Asante sana mama baby endelea kutizama kazi zangu

Nikiwaaga na kuwashukuru mashabiki wangu kwa upendo na uzalendo wa kweli kwangu

1 comment:

Anonymous said...

I like that. unaonyesha namna nawe unajali kazi za watanzania wenzako. Keep it up guy!