Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 25, 2010

PICHA ZAIDI ZA UZINDUZI WA BLACK SUNDAY MLIMANI CITY

Lusubiro Mwanguku na Hamidu toka GRM PRODUCTION

Mkurugenzi wa GRM PRODUCTION,MR.GABRIEL MAKUPA akielezea anavyoouona uzinduzi

Mzee Chilo na Sauda hapo ni maswali na majibu

Baby madaha,Sajni,mdau wetu

naaaaamh

Paul Isangi editor toka kampuni ya pilipili aliye edit Black sunday akiwa na Slyvia Shally

MR&MRS G.Makupa wa GRM.

Kwa pamoja

Slyvia Shally na Zamaradi

Taji Liundi akiwa na the great na mdau

Jimmy master na Roger Muzungu wa FM academia

Bazo na Cloud

Slyvia na Rehema a.k.a kamanda

Mwanangu wa This is it na Uncle JJ,JENIFA alikuja kumpa kampani uncle wake JJ.

Roger muzungu,the great,jenifa,sethy,Rose (mama mzazi wa jenifa)Shumileta nae alikuepo

Black sunday ikitazamwa

Jenifa na uncle jj nasi tukitazama

Swahiba akiwa makini sana

Umati wa watu ukitazamaThe great,monalisa na mlela ktk screen tukikamua

3 comments:

Anonymous said...

Kaka mtoo huyoooooooo, unakumbuka michael jackson, shauri yako

Anonymous said...

swahiba hizo nguo zako kwa moto nilishakushauri sana inabidi uwe karibu na zimamoto

Anonymous said...

hi brother k mimi ni shabiki wako namba moja hakuna filamu yako niliyoikosa nakukubali sana kaza buti mungu atakusaidia tunaisubiri black sunday, lakini kuna kitu kimoja kama kweli sylivia ndio wifi yetu hongera sana she is beauty anaelekea kwa asilimia 100% kuwa na wewe mimi mwenyewe nilimkubali nilivyomuona live mlivyokuja zanzibar mlipendeza sana.