Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 21, 2010

AUNTY EZECKIEL AFUNGUA PUB YAKE MPYA(CREM PUB)

Msanii wa filamu Aunty ezeckiel Gwantwa Jujuman amefungua PUB yake nzuri maeneo ya Biafra-kinondoni,wote mnakaribishwa,Jana ndio imefunguliwa rasmi na wadau mbalimbali walialikwa kuja kupata chakula na vinywaji kwa wingi. Irene na Chopa nao walikuepo

Uwoya,Ino barchard,Fifi,The great pioneer na Maya kwa pamoja tukimuunga mkono msanii mwenzetu maeneo ya Biafra-kinondoni

Swahiba nae alikuepo

Mtumishi wa Mungu JB alikuepo katika kuiombea hiyo Pub

Adam Kuambiana akitoa neno

Haya ufunguzi ulifanyika hivi...Daudi ndie alifungua..

Keki ya pub ilikuwa hivi, sote tulikula

Mkurugenzi wa CREM Pub Aunty ezeckiel akimlisha keki Rehema Macho

CP nae hakuwa mbali

TID alifata

Nice Chande nae alikula kumpa sapoti rafike ye wa karibu

Swahiba baba akimung'unya keki kwa steps.

1 comment:

mkis.com said...

hongera dada inaonyesha jinsi gani ulivomjaslia mali keep it up good ,umekuwa mfano kwa wengine sio kila siku wanakuchulia kuhusu viskendo na vivazi "i know u can"