Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 16, 2010

KANUMBA THE GREAT FILM NI MWENDO MDUNDO NA UNCLE JJ

Patcho na The great kaziniHii ni moja ya scene utakayoiona ktk Uncle JJ

The great nikiendesha mkutano wa kutetea haki za wanaume..ahaha utashangaa lakini ndio hivyo

Wanawake wakimsuta Uncle JJ

Uncle JJ na Jenifa wakiingia mjini kwa mara ya kwanza

Uncle JJ akijifanya analijua jiji sana kumbe wapi..

Wakishangaa Tv kubwa ya ukutani

Jenifa akitoka shule mara baada ya kuyazoea maisha ya mjini

Jenifa kijijini akiwinda kama kawaida

7 comments:

Anonymous said...

Nina hamu sana ya kumuona huyu mtoto Jennifer anavyoigiza maana picha tu zinatia hamu anaonekana anachekesha sana na ni mtundu sana. Big up Kanumba.

Anonymous said...

Daaah naona kama nachelewa kuiangalia hii movie ya auncle JJ mmm hope itanikuna kama ile ya THIS IT IS mmmmh kanumba nakuaminia naisubiri kwa hamu

Furaha
DSM

Anonymous said...

yaani sijui nisemeje nina vyoisubiria hiyo film kwa hamu kubwa isiyopimika.. big up kijana.. lakini usisahau kumshukuru Mungu na kutoa shukrani ya pekee na mafungu ya kumi kanisani kwa kufanya hivyo Mungu ataendelea kukubariki.

Anonymous said...

hahahhahah yaani nimecheka sana jinsi wanawake wanamsuta uncle jj

Anonymous said...

naanza kuona itakavyonoga!! i hope ntakuwa Tz utakapoitoa,kwani naisubiria sana.Niliona mambo yako na patcho kwenye unko jey jey.
Lil Holland

Anonymous said...

Kanumba utakuja kutukimbiza ndani ya blog yako kabisaaa!Juzi nimecomment lakini umetupa comment yangu na imeniuma! Hivi kwanini wewe huweki maoni ya wadua waliochangia??Mwanzo nilidhani labda hakuna wanaochangia ndani ya blog hii ,,lakini badae nilivyozoea kuzungukia hapa nikawa nachangia sehemu mbalimbali bila kuona comment yeyote,,lakini nimegundua kwamba huweki maoni ya watu waliochangia unatupa jalalani! duh! kwanini?blog ni nini ?sio kuelimishana kweli? Kanumba jitahidi uwe unaweka maoni ya watu ndio changamoto,,na maoni yanaongeza utamu ndani ya Blog,,najua na hii utaitupa ila ujumbe ni huo.

Anonymous said...

Kanumba wewe ni noma mimi nakukubali sana kwani siachi kuangalia picha zako zote ulizocheza na kuzitoa