Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 21, 2010

WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA RISASI KUTOKA GLOBAL PUBLISHERS WAMTEMBELEA THE GREAT OFISINI KWAKE.

Waandishi wa habari Hemed Kisanda na Jelard Lucas toka Global publishers wakiwa ofisini kwa The great akiwaonesha posterz za movie zake

The great nikiwakaribisha ofisini kwangu kabisa ninapofanyia kazi zangu

Jelard ni msukuma mwenzangu hivyo tukakigonga kidogo kisukuma kukumbushia nyumbani tukamaliza kwa kucheka

Nikiwaonesha baadhi ya vifaa ninavyotumia katika production yangu ikiwemo na camera

Hemed akaona aijaribu kidogo

Jelard akasema namimi nisipitwe

Tukijaribishia jinsi shooting zetu zinavyofanyika location

The great nikiwaonesha kazi zinazofanywa na kampuni yangu

Hapo nikijibu maswali yao kwa ufanisi na kufafanua zaidi

Nje ya ofisi yangu Jelard akitoka kuona sticker zilizoko kwa nje.Nawashukuruni sana kwa kunitembelea pia nashukuru Global publishers kwa kuweza kunikumbuka mpaka kutuma timu yake makini kabisa kunitembelea ofisini kwangu karibuni tena na tena,zaidi nawashukuru kwa kuwa wakweli na wawazi katika kazi zenu mkijali utu na heshima ya wasanii wenu si kuwaandika tu bali hata kuwajulia hali sehemu zao,basi tuzidishe ushirikiano daima katika kweli na haki.

6 comments:

BQ said...

KANUMBA MBONA HUJATOA MAELEZO YA KUTOSHA HIZO OFISI ZAKO ZIKO WAPI JE INAWEZEKANA KUJA KUKUTEMBELEA?

florah said...

Hongera sana bro Keep it up MUNGU akusaidie zaidi, mashabiki tunasubiri burudani.
Mama Mario

Anonymous said...

kanumba hapo unaonekana kama una kiss ass, ukweli gani wanao andika? inaonyesha unaogopa wasije kuandika vibaya. WEWE NI MWANAUME BWNA HUNA HAJA YA KUKISS NOBODY'S ASS.

Anonymous said...

UNCLE JJ INATOKA LINI

RIDA said...

KWELI KAMA MCHANGIAJI ALIYEPITA HAPO
OFISI ZAKO ZIKO WAPI? NA JE KUKUTEMBELEA KUNA MASHARTI YOYOTE?
RIDA.

Anonymous said...

safi sana.keep it up