Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 8, 2010

THE GREAT KATIKA UNCLE JJ NA WANANGU

Me sisemi mtaona wenyewe

Farid Uwezo akihakikisha anapata picha sawia

The great nikiwai bafuni

Jenifa akichuma mboga mboga

Uncle jj na patriq

Vituko vya huyu mtoto ni vingi mno katika hii movie

Scene hii akiwachimba mkwara watoto wenzake

Uncle jj akisisitiza jambo

Jenifa akaona isiwe tabu wacha nami nijaribu hajui mtaka vyote hukosa vyote

Wakati fulani anakuwa mshauri mzuri kwa wenzie kama unavyoona

The great a.k.a uncle jj nikichimba mkwara kwa Jenifa

Farid Wezi au Uwezo ndie camera man wangu

7 comments:

Anonymous said...

Jamani huo mkanda unatoka lini kanumba??? yani naupenda sana ule mkanda wa This is it, wanangu wamekariri vipengele vyoote, huwa naufurahia sana, jenifer, patrick na hat wewe umecheza vizuri, tunausubiri kwa hamu sana mkanda huo wa Uncle JJ, lo! jeniffer jamani, nimependa sana huyu mtoto, kazi njema
violet wa Beauty touch

Anonymous said...

Keep it up Kanumba, sipati picha hiyo movie itakavyokuwa kali mana ya This it is nilicheka mpaka nikahic mbavu zinauma mana Jenifa alikua akikamua sana halafu yupo siriaz (mean anavaa uhusika wake vizuri sana) nasubiri huo mzigo mpya Mungu wangu na akusaidie uweze kumaliza salama uje utupe raha Wapenzi wa filamu zako.

Furaha, Mabibo DSM

Anonymous said...

hahaha the great mbona camera man wako hajachana nywele

Anonymous said...

The Great hata ubanie comment yangu mwambie Ray hao sio watoto.

Anonymous said...

kaka upewe nini na Mungu? uko juu kijana, niliipenda kweli this is it. am not a bongo movie fun but ile niliangalia n nikacheka mno the way ilivyokua inaburudisha nafsi hadi raha jamani.. uncle jj yani uendelee hivyo am waiting for ur next release.. iwe zaidi ya uliotoa. ur goooood bwana sifa tukupe kz u deserve it kabisaaaa!!!!!!!!

Anonymous said...

Hawa ndio watoto sasa,wale wanakataa sio watoto kutokana na mavazi yao,yeye anasema mtoto wa miaka 14 na 16 then wanavaa vile si balaa hiyo na hawastahi kabisa kuitwa watoto maana wanaenda sambamba au zaidi na wakubwa.

na pili bro umejitahidi sana yaani hii movie hata mimi nitatafuta copy yake maana inaonekana umeuvaa uhalisilia kabisa,hakuna cha ma-wave yenu wala nini yaani ni full mzuka wangu aminiaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

hongela sana kaka kanumba kwa moyo ulionyesha kwenda kumtembelea mzee kipala kwakweli mungu atakuzidishia kwani jambo ulioonyesha ni zuli na umeonyesha unakumbuka aliyekusaidia. hongela sana mungu atakuzidishia kwakweli nimefalijika sana na moyo huo.

Mama Tricia wa Tabora