Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 4, 2010

THE GREAT NDANI YA UBALOZI WA NIGERIA

The great nimepata mwaliko toka ubalozi NIGERIA kwa mazungumzo fulani ambayo soon ntawajulisha yanahusu nini,moja ya sababu zilizoangaliwa ni jinsi ninavyoshirikiana na wasanii mbalimbali toka NOLLYWOOD-NIGERIA vizuri hivyo ubalozi ukaona ni vyema uwe na mazungumzo kidogo na mimi. Chiff,the great na minister Ofon Etuknwa katika ofisi yake hapo ubaloziniNlipatia minister zawadi ya movie zangu baadhi nilizowai kushirikiana na Nollywood stars,nae alifurai sana

3 comments:

Anonymous said...

hongera steve.mungu azidi kukufanikisha ktk mambo yako, tupo wengi tukupendao na tukuombeao.

Anonymous said...

Kanumba kumbe ukiwa sehemu flani unaturia kabisa,,yani nimependa ulivyosimama kiheshima,utadhani ni mr Obama,,Ila siku nyingine usiwe unavaa kofia kama hiyo ndani ya ofisi kubwa kama hiyo,,hapo nisawa na kuwa na mkuu wa nchi ya Nigeria.

Anonymous said...

safi kaka,nilikuona siku ile.nice work and keep it up.