Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 8, 2010

BAADA YA KAZI NZITO YA KUSHOOT,THE GREAT OFISINI.

Baada ya mda wote toka asubuhi mpaka jioni kuwa location nikishoot usiku baada ya hapo naingia ofisini kwangu kukagua kile nilichokuwa nafanya siku nzima kama kiko katika ubora niliokusudia ili kazi ianze ku haririwa(editing) The great nikipreview scene nilizoshoot katika monitor za computer yangu aina ya MAC-G5

Kwa umakini nikikagua

Kuna wakati inabidi nitumie camera kuingiza material ktk computer...

3 comments:

Anonymous said...

UKO JUUU TUWEKEE EMAIL ADRESS YAKO BAS..

Anonymous said...

Hongera kaka kwa kumiliki vifaaa vyako mwenyewe hayo ndiyo maendeleo tunayotaka kuyasikia, safi sana naimani hiyo movie itakuwa bomba..... kazi njema

Furaha, Mabibo DSM

Ivan said...

yah that is great i know those mac and other windows pc some time can fail dont go far check me for some free IT consult,Ivan Overs 0717-959609