Kama nilivyoahidi kuwapa picha zaidi za matukio katika harusi ya msanii mwenzetu Salum Mchoma(Chiki)nazo ndio hizi...
Mzee wetu Kipara alikuepo
Ngoma ya asili toka kaole sanaa group ilisisimua sana watu
Sajuki na mkewe(Wastara)nao walitumbuiza kwa wimbo mzuri
Kwa furaha Nova alimbeba juu juu bwana harusi
Bi mwenda akilisakata rhumba na Nova
The great nikipata picha na maharusi
William Mtitu na Bi mwenda
Umoja wa wasanii wa filamu ulionekana
Raisi wetu wa shirikisho letu la wasanii wa filamu Simon Mwakifwamba akitangaza zawadi ya wasanii kwa maharusi ambayo ni kulala katika hoteli ya kifahari ya Sunrise beach katika honeymoon yao kuanzia leo.
wasanii na maharusi
Dude akitangaza zawadi ya mabati toka kwa wasanii.
5 comments:
Umoja ni nguvu! Wasanii mkiendelea kuwa hivo mtafika mbali!
Albert
WA
mimi tatizo langu moja ni filamu zetu za kibongo (mnaweka uzungu mwingi siku hizi watu wanakula denda kama kawaid hii haifai kwani tunatoka nje ya misingi ya kiafrika ila sinema zenu nzuri sana na mnaeleke kuzuri na kwenye mafanikio,kwa filamu ya uncle jj hii iko natural sana mpaka raha na inaleta mvuto ktk kuangaliya,lakini inakosoro moja pale jangwani hapakufaa kuwa kijiji kwanini msingeenda hata uzaramuni kwali pale pamepoteza uhalisia kwani magorofa yaneoneka kwa sina mengi nakutakia mafanikio mema

Post a Comment