Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 22, 2010

Behind the Scene (VILLAGE PASTOR)


Njaa inauma jamani,...... Samahanini nilisahau,..
karibuni tule.... no ... tusonge Ugali.

Jamani kushoot si  mchezo.


Hata wazungu nao wanakula kumbe mihogo...!!!


Huyu mbuzi hafundishiki hajui hata ACTION!!


Msinisemeeeeh, msinisemeee..... msiniseme kama napenda kula..
Scene ya kula jamani, Director alijuta kwanini alinipa hii Scene.


Hawa mbuzi walimtesa sana huyu mzungu mpaka akasema, "Siji tena kuigiza na mbuzi wa Kiswahili kama hawa"..ha ha ha hah haaaa!


Hapa nilikuwa na njaa hatari, na mbuzi hawasikii action wala Cut toka kwa Director, walinitesa haoo!!



5 comments:

Mary said...

Kaka uko juu! napenda sana movie zako, kazeni buti zaidi, mtafanikiwa! all the best..

machuma said...

Du steve mwanangu una matonge! mtoto haruki hapo.

Unknown said...

HAO NDO MBUZI WA KIBONGO ,USIFANYE MCHEZO...,NAJUA ILIKUWA PATASHIKA KUWAKUSANYA HAO MBUZI SIPATI PICHA.
ASAJILE MICHAEL

Anonymous said...

HI KANUMBA

HONGERA SANA HII MOVIE NI KALI...........


TUNATAKA KUMUONA YESU MACHO KWA MACHO , VERY SIMPLE VERY...................

ALL THE BEST

Anonymous said...

kwa kweli kanumba ubarikiwe hii movie ni tishio . na unajua kweli kuact. kanumba umeokoka?