Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 15, 2010

Mengi yalisemwa, lakini nilifika...... ahh hah hah hah!





Yeyoooooooo!! in Hollywood.....

.....hata hapa napo yalisemwa, but.....,
When God Says "YES".... it is "YES"

3 comments:

florah said...

Ni kweli Kanumba MUNGU akisema NDIO bac ni NDIO hakuna wakugeuza hilo.
Upo juu Keep it up zaidi na zaidi na MUNGU akupe mafanikio zaidi ya hapo, Kazi zako ni nzuri mimi binafsi nazikubali mno.
Mama Mario

Anonymous said...

ungesema "when God says" na sio "when God say" afu usijali maneno ya watu unajua mtu anapokusema anatarajia ukasirike na atajua umekasirika ukimjibu! so wakisema tena nyamaza chukua yale ya muhimu tu ujifunze ubadilike uwezi jua waneza kua wanakutengeza uwe mtu bora zaidi bila wao kujijua afu shudu wanazotema waachie kuku!

Anonymous said...

Ndugu kama ipo ipo tu hata wafanye nini. Achana nao wanaochonga juu yako bro sie ni binadamu kusemwa tumeumbiwa. dont mind bro kaza buti.

Mwanjy