Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 8, 2010

Happy Birthday "THE GREAT"


HAPPY BIRTHDAY KAKAAAA, The great leo ni siku yangu ya kuzaliwa yaani wadhungu wanathema "Hepi bethidei"

Namshukuru Mungu kwa kunipa uhai mpaka kufikia siku hii ya leo, napenda kuwashukuru watu woote waliochangia katika maendeleo yangu kwa namna moja au nyingine pamoja na washika dau wangu woooote mliopo popote pale Duniani. Mungu awabariki sana.

10 comments:

Anonymous said...

Ooooh yeah!You are for real great and you are worth for this special day in this life.Happy Birthday!!

Anonymous said...

Happy Birthday Stev Kanumba!Are you feeling old now???May the good Lord help you as you continue with your good work.Ni kweli,''Actions speaks louder than words''.Keep it real!



Maryam

tulip said...

happy birthday kaka kazi yako ni nzuri sana,fikiria kusafiri nchi nyingine kuona wengine waishivyo,jaribu kuwa mwenye wivu wa maendeleo,kazi nzuri yenye mipangilio kumbuka nidhamu,heshima na malengo katika kazi ni misingi bora ya maisha katika jamii,think big ,think great uta fanikiwa,fikiria wapi pesa ipo na uwekeze.kuwa mfano mzuri katika familia yako na jamii kwa pamoja.Achana na wanaotaka kukurudisha nyuma,au wasio fikiria kesho,

Happy birthday kaka

Martharita said...

Happy birthday big boy

poWEROFGODFIRECHURCH.BLOGSPOT.COM said...

Bro HAPPY bIRTHDAY TO U NAAMINI KABISA MUNGU ANAMAKUSUDI NA WEWE LICHA YA KWAMBA WENGI WETU AWAJUI NAKATAKIA MAISHA MAREFU NA NAKUSII KWAMBA KUMCHA BWANA NI CHANZO CHA MAARIFA Simon Petro alimuliza bwana maneno haya "Bwana, tutakwenda kwa nani? Wewe unayo maneno yaletayo uzima wa milele. hivyo hivyo nakusii kaka usimwache yeye alitaye uzima Happy BIRTHDAY

kokusima said...

Hapy birthday Steve, kumbe umenizidi miezi 11 na siku kadhaa. Shukurani kwa wazaa chema. Lov u

MG said...

Kanumba mimi naipenda sana kazi yako na pia ni fan wako sana.Kweli unatakiwa umshukuru Mungu kwa kukupa tena mwaka mwingine wa kusherekea siku yako ya kuzaliwa,kila ufanyalo mdogo wangu nakushauri mtangulize Mungu na jaribu kushika masharti ya Mungu.

Mingu amekupa mafanikio ukiwa kijana mdogo kweli mshukuru sana.Mimi ni dada yako na nkufeel sana. Natamani siku moja nikuone uso kwa uso. Mi niko Arusha,karibu arusha.

MG

shamim a.k.a Zeze said...

HAPPY BIRTHDAY BRO!!

Anonymous said...

happy birthday Kanumba. NAKUPENDA SANA SANA SANA

kanumba said...

asanteni nyote kwa upendo wa dhati