Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 16, 2010

Genevieve Nnaji mpinzani wa Omotola Jalade NOLLYWOOD.


Genevieve katika pozi ni mmoja wa waigizaji mashuhuri Nigeria mwenye tuzo kadhaa za uigizaji na ambaye ameshafanya kazi nyingi za filamu ndani na nje ya Nigeria Mfano. Uingereza, South africa, Ghana  n.k. Ameshacheza Filamu zaidi ya 300 na ndiye mpinzani mkuu wa Omotola Jalade katika Filamu nchini NIgeria. Genevieve ana Mtoto 1 anayeitwa Julieth. Haya dada zetu Nyumbani..........

---------kuna hata mmoja ambaye ameshafikisha hata Filamu 50 wakati Genevieve ana zaidi ya 300!!??

Irene Uwoya, Aunt ezekiel Mpo hapo?

2 comments:

Rabicca said...

She is my favourite, jamani anastahili yupo juuuu!

Jane said...

Jamani kama kuna wadada ninao wapenda katika tansia ya filamu kutoka nageria basi ni hawa wadada. Hasa walipocheza blood sister kweli up to now that movie inanitoa machozi kila nikiiangalia. I realy like them so much hope nami siku moja nitakuja kufikia kiwango chao japo sijajitokeza, hope nitapata shavu toka kwa the great ha ha ha ha ninakipaji ati.