Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 26, 2010

Naombeni mawazo yenu.... nani ZAIDI hapa, kwa UIGIZAJI na MUONEKANO!?


Irene Uwoya


    Aunt Ezekiel

47 comments:

Anonymous said...

KHA!
jamani, mbona Aunt ezekiel amekaa uchi??? mh! kanumba, hapo sasa hapana jamani kha! hivi kwani uzuri wa mwanamke unakuja kutokana na kuvaa nguo fupi??
this is too much jamani,
yani uchi kabisa, sasa pale amevaa nini jamani, si bora akichane na hicho kipande kilichobakia?? inakera sana
kwa kivazi hicho bora tumpe kula IRENE UWOYA, japo nae ndio walewale

Anonymous said...

Hawa wote wanamuonekano unaofanana kwakuwa wote ni wa kikahaba kwenye Movie za Majuu za XX. Pia kiugizaji wote wako sawa tu pia kwakuwa wanaonesha uhalisia wao wa kuonekano wa kikahaba. Ndio maana wanafit kwenye part za mapenzi.

Anonymous said...

irene,she is beautifull,na napenda anavyoact.aunt no anapenda sana kujiacha uchi no no no.

poWEROFGODFIRECHURCH.BLOGSPOT.COM said...

wamevaa kichafu wote BorA Ant E

Anonymous said...

mkaliiiiiiiiiii niirene uwoyaaaaa.

kwa sana tu, untie kazidi umri halafu anakaa uchi sana.

hata ku act Irene kiboko.

Anonymous said...

irene yuko juu...huyu anti hamfikii hata nusu anajishebedua tu na kutangazi biashara..hana lolote...irene ni noma.

HOLINESS BANGEREZA said...

Wote wazuri. Kwa kuigiza wote wakal bt irine nimkal zaid kwa kuigiza ni mkali. Bt mavaz yao sasa kwenye kuigiza, huangalii na wazazi. Hv nyi ndo mnawaambiaga wavae uchi vile?

Anonymous said...

Wote wapo juu kwa kweli lakini kama kuchagua mmoja,namchagua Irene.

Anonymous said...

mimi naona wote wanahitaji kuelimishwa kuwa mzuri sio kwamba ukae au upige picha kama unatangaza biashara, mbona huku wenzao hollywood maactress wanaheshimika kwasababu wakoproffesional na picha zao ni nzuri ziko very classy.MIMI WOTE NAONA SIFURI KWASABABU HAWANA CLASSY ,WANAONEKANA TRASHY.SORRY KANUMBA KAMA NIMEKUDISPOINT,BUT UMEFANYA VIZURI PIA KUBADILISHA PICHA YA HUYO AUNT.

Anonymous said...

jamani kusema ukweli hawa wa dada wote ni wakali ila irene amezidi mno kukaa uchi.....

Anonymous said...

aunt ezekiel ndio best sababu anajua sana ku-act then yuko smart saana halafu anajua kupendezesha movie sababu anavaa nguo nzuri sana tena huwa harudii nguo kwenye hizo scene zake pia anatengeneza nywele vizur sana so form head to toe tuko smart..irene ndio anavaa uchi sana nafkiri kwasababu yeye ni mnene,movie zake zingine anavaa nguo fupi mpk anashindwa kutembea kabisaaaa,nywele zinakuwa zimechachamaa chafu hazijatengenezwa vizur,na kuna movie moja ali-act sijui alibandika kucha ikatoka ama kidole kimoja hakijapakwa rangi!!!?...aunt ezekie ndio bora kiugizaji na kimuonekano zaidi..

Anonymous said...

Aunt ni bora zaidi...

ZAITUNI said...

MI NAONA MAVAZI YA AUNT EZEKIEL SANA HUWA YANAENDANA NA SEHEM ANAZOPANGIWA.AKIWA DISCO NI TOFAUTI NA AKIWA KAZINI..ANGALIA PICHA ZA IRENE AKIWA KAZINI ANAVAA NGUO FUPI MNOOOOOOOOOOOO...MPK HUWA NAJIULIZA KUNA OFISI WANAVAAGA HIVYO KWELI/????

AUNT NDIO MKALI ZAIDI

Anonymous said...

hello kanumba

mimi kwa kweli naona uant ezekeli ni ndio bora zaidi coz anakaa kila sehemu yani!!

irene kwenye movie za mapenzi ndio anajitahidi

Anonymous said...

hello kanumba

mimi kwa kweli naona uant ezekeli ni ndio bora zaidi coz anakaa kila sehemu yani!!

irene kwenye movie za mapenzi ndio anajitahidi

judith

Anonymous said...

Yani wote kwa ukahaba sawa ila bora irene matunda ya ukahaba kayapata maana kaolewa,huyo sangazi ndo ucseme namchukia kuliko chochote the only thing ni kwamba anajizalilisha sana na anajiona wa maana binafsi labda irene kidoga anavutia na co huyu shangazi hebu jaribuni kumshauri awe anasitiri hayo maungo yake huyo shangazi cmpend mno ni mtazamo wangu.

machuma said...

Irene yupo nondo zaidi japokuwa katika njanya zote, na kwa kweli anauvaa uhusika

Anonymous said...

jaman hakuna ata mwenye afadali wote muonekano wa kikahaba. au wenzetu wanajinadi???????????????????? movie dhenu ckuiz huangalii na mzazi

Unknown said...

mh! huu ni mtihani dis two galz si mchezo wote wanamvuto pia they are good actress ,ukicheki movie zao utakubaliana kwamba dis two wanaweza kuigiza any where globally.
ASAJILE

Anonymous said...

kwa kweli wote wana muonekano wa kikahaba, filamu zenu sahiv uwez ukakaa na mzazi ukaangalia. wadada wana mavazi ya ajabu, inawafundisha nn jamii.

Anonymous said...

hi!

kwa upande wangu irene mkali,kwanza kwa uzuri then kuact, khs mavazi anti kazidi kuvaa uchi, mwambieni jamani hapendezi hata kama ni biashara sasa hana market tena, mijidume yote yenye uchi imemlamba sasa hata mafataki wanamwonea kinyaa!

IRENE IS BETEER THAT ANT EZEKIEL. KWA SAAAAANA TU

LABDA UNGEMLINGANISHA NA WEMA!
Kwa uzuri na ukali wa muvi. ila wema mkaliiiiii du!

Anonymous said...

HAKUNA

Anonymous said...

Kwanza napenda kumshukuru Anoymous namba moja maana comment yake ndio imepelekea kutoa ile picha ya Aunt E ilikuwa inatia aibu.

tukirudi kwenye topic kwa mtazamo wangu naona IRENE yuko juuuuuuuuu...

Anonymous said...

none of the above.

Anonymous said...

WEMA IS THE BEST.

Unknown said...

du! Ama kwa hakika wabongo tunakoelekea ,hivi hiyo ndo sanaa yetu wa bongo au ya kimagharibi? hivi kumbe tunaweza kutembea uchi barabarani?,sasa Aunt HAYO NI MAUZO AU NDO SANAA YENYEWE? DU?

Anonymous said...

HILO LI SHANGANGAZI LIKO KAMA LINAWAZA NGONO TU HATA NYIE MNAOACT NAE NAONA ANAWACHEFUA JINSI ANAYOWAKALIA UCHI ANATIA KINYAA CJUI NI LITOTO GANI KAMA HALINA WAZAZI HAJAPATA TU WAKUMWEKA NDANI ATULIE MAANA KAMA BIASHARA KASHATANGAZA SANA HAFAI

Anonymous said...

WE SHANGAZI TEMEA NA CHUPI TUTUJUE KWELI UNAMZUKA WA KUWEKA MAUNGO YAKO UCHI TUZIDHANI WANAOOKOTA MAKOPO NJIANI NI VACHAA PEKE YAO WENGINE WAPO KINA SHANGAZI WAPELEKWE HOSP.LAZIMA WATAGUNDULIKA SEHEMU MOJA YA UBONGO HAIFANYI KAZI CBURE WADAU TUSIMLAUM SANA LABD HAJUI ATENDALO KHA!!!!KAMA LAANA VILE

Anonymous said...

aunt amezidi kuvaa uchi hakuna mtu anataka kuona mwili wako,uyo irene nae ndo ivoivo jamani sio mpaka mvae uchi ndio mtaonekana mnajua kuvaa na uyo irene hajui kuact anajua kutoa macho tu.hao wote ovyo tu

Anonymous said...

WAMEZIDI KUKAA UCHI, INGAWA WOTE NI WAIGIZAJI WAZURI, KAMATI YA MAADILI ICHUKUE NAFASI.

Anonymous said...

at least aunty kwa kweli co she knows wat to wear and where. uyo irene hajui how to her hair kusema ukweli hajawai kuweka nywelezake zikapendeza in short she is dirty!

Anonymous said...

comment yangu kwako mwenye blog,( KANUMBA) hivi umesoma kweli maoniya watu? kama umesoma utakubaliana na mimi nikisema watanzania wengi hawapendi uvaaji wa wanawake waigizaji si tu kwa Aunt na Irene bali ata wengineo. Utandawazi sio kukaa uchi ubora wa filamu sio kuanika maungo ya mwanamke wazi. Naweza kusema (samahani mi mwanamke inauma) WASANII WAKIKE HAWANA TENA SEHEMU ZA SIRI ZAIDI YA SEHEMU MBILI TU ZA KUTOLEA TAKA MWILI.Filamu zenu za kuelimisha hazifikishi ujumbe kwa baadhi ya wahusika kwa sababu watu wazima na heshima zao mfano Mapadre mashekhe wachungaji na hata wazazi wanaogopa kununua filamu hizi kwani zinataka kuendana na filamu za ngono. Ushauri wangu punguzeni mambo hayo ili na wengine wasione aibu kununua filamu zenu.

grace said...

Kwakweli anonymous february 1, 4:25 umenigusa. Hata mimi nimejiuliza, kama kweli kanumba unataka kutoa changamoto kwa hao wadada, wewe kama wewe umekosa picha nzuri ya heshima ya kuweka? kumbuka tupo wengi tunaopenda kusoma habari zako,kama mimi napenda mnooo filamu unazocheza lazima nitapenda kusoma fikra zako wewe kama kanumba. Maana humu ndani sio acting, ni mawazo na uhalisia wako ndio ninaoutegemea. ukiweka picha kama hizo fans tupige kura unategemea nini, ndio maana comments za wengi zimeenda kwenye mavazi, au hiyo ndio mnaona itaongeza comments.
Kila siku mnapeleka malalamiko sijui kazi zenu hazithaminiwi, mnaibiwa na mambo kama hayo. Lakini pia mjichunguze na nyie wenyewe, mnajithamini????????? Heshimuni kazi zenu nasi tuwaheshimu

Anonymous said...

babu watu msihate shape na paja analo ant kama vipaja vyenu mbao hamuwezi kuvionyesha

Unknown said...

Irene owoya anatisha ila mjue mnayoyagiza na watoto waiga sasa mwataka waige nini ?? au ndio mnaelimisha jamii kisasa ongereni.

Anonymous said...

hayo mavazi ya kujiacha uchi vaaeni ndani kwenu maana ni aibu,mmmmmmh! hata kwenye movie mmmatia kinyaa,hamjui mavazi ya offc,wala ya kutoka. Irene Uwoya unaigiza vzr,rekebisha mavazi yako watu watakupenda zaidiiiiiiiiiiiiiii...!!!!!!

Anonymous said...

KANUMBA!!!!!!!!!!!!!!!!!! KANUMBA!!!!!!!!!!!!!!!!!! KANUMBA!!!!!!!!!!!!!!
Mimi nampa kura Aunty.Pia naomba kutoa maoni na naomba sana kanumba uyasome.Watu wanatoa dukuku duku zao na kero zao za rohoni lakini watu kumbukeni ni kura tu inahitajika hapo kama Aunt au I rene.
Kwa ushauri kanumba ungeweka PASSPORT size tu hapo za hao wawili ili kupata mtazamo wa wengi na siyo watu walivyobadilisha mada kwenda kwenye mavazi na maelezo mengi ya kuchafua kazi zenu.Kumbuka watu mpaka Nchi za ugenini au Wenzetu wanasoma haya maoni sasa mnaonesha nini?Tafakari chukua hatua kanumba.

Anonymous said...

acheni unafiki nyie watu nyie wengi wenu hapo mnapenda kuangilia xxx nakusoma magezeti yenye story za aina hihihi kwa sababu hivi ndio ina uzaaa

Mohamed fumo said...

Acheni majungu nyie ant yuko juu anaweza na kimuonekano pia sema tu apunguze mbwe mbwe!

Anonymous said...

tumesha choka kuwaona uchi wanatukera hata movie zenu hatuta nunua.

Anonymous said...

tumesha choka kuwaona uchi wanatukera hata movie zenu hatuta nunua.

Anonymous said...

Napenda sana kuangalia filamu zenu ila napata shida pale ninapokuwa na mtu mzima au watoto kwasababu ya mavazi ya madada zetu, wanavaa mavazi ya aibu sana. me nadhani ni wakati mzuri sasa wa kujirekebisha. Msanii pekee a kike ambaye naweza kuangalia acting yake bila kujali kunanani ni monalisa mbona yeye anajihishimu sana na ni superstar? Tubadilike

Anonymous said...

wote wakali ila irene bwana da!!! wasanii lazma wawe tofauti jaman

Anonymous said...

Yaani hapo kinachowaokoa ni mtazamo wa nje tu kiukweli hakuna anayeact vizuri kawaida sana. Mi naona kura yangu nimpe Wema maana dada anacheza vizuri si utani kwanza umbo amewafunika screen save Irene yuko vizuri haswa jicho lake. Lakini kukaa uchi ndo kichefuchefu kwangu

Anonymous said...

Jamani hawa kina dada wanaact kawaida sana ila kunascene kutokana na jinsi walivyo wanapendeza na sura na maumbile yao ndo yanauza si jinsi wanavyocheza mi nao wa kawaida sana Kanumba ungesema Wema kweli huyo dada anacheza na unavaa uhusika kamili angalia mwenyewe picha ulizicheza na Wema tukohuru kuangalia hata na baba mkwe. wakati mwengine tukiona sura zahawa people wawili inabidi watoto wasiangalie kwani kunakuwa na mambo ya ajabu kutokana na maadili yetu. Hakuna anaye nichawishi labda scene za mapenzi Irene funiko,

Anonymous said...

jamani hivi ukiwa muigizaji ni lazima uvae UCHI this is shame naomba tuangalie hili swala la mavazi kwa upya.

Anonymous said...

Aunt Ezekiel yuko juu kwani amekomaa kitika sanaa na yuaweza kubadilika kulingana na sehemu anayoicheza.Irene bado,lazima aelezewe urembo si tosha.