Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 6, 2010

On the scene


Mercy Johnson na Michael Majid kutoka Ghana, katika scene za Mapenzi

6 comments:

wahida shoo said...

hallow nilikuwa nakutafuta sana kaka nimekupata usijali tupo pamoja unatisha bro.

Anonymous said...

-Hivi Van Viker,halfcast mmoja wa KiGhana na Lebanon,balaa actor huyo!And yes,he's "a sight for sore eyes"....In short,Ghana inakuja juu sana...hapa ughaibuni,tunajitahidi cheki sana movi za KiAfrika na washikaji zangu wa Kighana hunipasia movie zao balaa...!Check them out Kanumba uone ni nini waweza share/jifunza,si WaNigeria tu.
-Halafu mwisho kabisa,cheki West African Cinema,kutoka Senegal,Ivory Coast wanavyopatia maisha ya vijijini ktk technicolor!Balaa!But you need at least kuongeza lugha ndugu yangu kama French,Portuguese maana kama unapanua mabawa yako kifilamu namna hiyo,wahitaji kuwasiliana nao,(si wote wanaoongea English so wanajivunia lugha zao)na kuwafanya wajisikie nyumbani pindi ambapo utakaposocialise nao si break ya kwanza kutaka tangaza BBA au Mlima Kilimanjaro!

Anonymous said...

ninaowafagilia ma actors and actress wa kighana na ki nigeria,mercy johnson,oge ogoye,van vicker,majid,jackie appiah,yvonne,omotola,ini edo,patiente,jackob and nadia buari. Movie zao kwa kweli zinavutia. Ila na wabongo nao wanakuja juu isipokuwa katika scene za kissing bado waoga.

jojo said...

Kudadadekiiiiiiiii,that scen is so hot hot!!!! ilove that lady

jojo said...

Kudadadekiiiiiiiii,that scen is so hot hot!!!! ilove that lady

Anonymous said...

mweeeee iki kituuu