Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 5, 2010

Taifa stars na The elephant katika hekaheka..


Wachezaji wakiendelea kukipiga katika uwanja wa Kimataifa wa Mpira wa Mguu wa taifa Tanzania.

1 comment:

Asajile said...

Watanzania tunapaswa tujivunie Utaifa wetu katika suala la soka na tuache habari za Simba na Yanga maana hazitupeleki popote,Taifa staz ikicheza tuishangilie kwa nguvu zote na sio kuishangilia kiunaziunazi.
ASAJILE M