Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 5, 2010

Muda umefika wa kusepa...


Hapa Cote D'ivore (Ivory Cost) wakiingia ndani ya ndinga

1 comment:

Machuma said...

Ebwana kazi nzuri na nimependa sana jinsi unavyo fafanua jambo tena kwa ufasaha. ninakusihi kuwa mvumilivu kwani mwanzo ni mgumu sana. Hata mwenzio the Grearest wakati anaanza wadau walikuwa wachache sana lakini sasa anao wengi, kaza buti bro!, ninakushauri pia irushe Blog yako kupitia Issa michuzi kama alivyo fanya Ray, hii itasaidia watu wengi kuijua. otherwise kila la kheri mimi ni mdau wako tupe mambo upo juu!