Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 19, 2010

Siku Designer wangu wa ukweli Masoud Bitebo alipouaga ukapela na kujichukulia jiko Bi. Zabibu. The Great nakupa pongezi nyingi sana ipo siku na mimi "NITAKUJIBU" haaa ha ha ha...




Mr & Mrs Masoud Bitebo



Masoud Bitebo akiwa amelikumbatia jiko lake




Msosi, msosi, msosiiiiiiii!

Abdalah bitebo, Kaka yake Masoud Bitebo akisalimia waalikwa.

Huyu jamaa ni Mdau Mkubwa wa Man UTD, hivyo hata Keki yake ilikua ni nembo Man UTD. Wapenzi wa Manchester Mpo hapo!!!



Hapa mi Chichemi....


Wazazi wa Masoud bitebo wakiwa wanafuatilia matukio kwa umakini zaidi.

Waaaana mere meta!! wanameremetaaaaaa!! Kulia kabisa mwa picha namuona Mdau mkubwa wa Koffi Olomide Mr. Shamiri a.k.a JJ "FULAMAMBO"

6 comments:

poWEROFGODFIRECHURCH.BLOGSPOT.COM said...

kaka huyo naye msham,ba badala ya kuweka picha ya mkewe kwenye keki kuonyesha upendo unaonyesha upendo kwa man untd khaaaa ha ha ha ha hiyo kali acha hizo kaka

Anonymous said...

Hongeren maharusi Mungu aibariki ndoa yenu iwe na baraka tele inshallah!

Mwanjy

Anonymous said...

ETI KEKI YA MAN U UMEBOA USAMBA TU HUYU INAELEKEA ATAKUA DICTATOR NDANI YA NYUMBA CDHANI KAMA HUYU BI HARUSI AMEKUBALIANA NA HILO LIKEKI LA CLABU YA MICHEZO.DU YANI KEKI IMEKUA KAMA LIUGALI LA KISUKUMA KHAAA!!!!!!!!!

Anonymous said...

jamani mbona mko ivo? hata kama amechemka si vizuri kumkandia ivo, mpeni kwanza hongera zake the ndo mkadye, Kiukweli wamependeza sana hilo lazima tuwaambie ukweli.
acheni hizo jamani no one perfect hata wewe kaa ukijua si vyote uvifanyavyo viko perfect.

Anonymous said...

jamani mbona mko ivo? hata kama amechemka si vizuri kumkandia ivo, mpeni kwanza hongera zake the ndo mkadye, Kiukweli wamependeza sana hilo lazima tuwaambie ukweli.
acheni hizo jamani no one perfect hata wewe kaa ukijua si vyote uvifanyavyo viko perfect.

Anonymous said...

oyooooooooo masudi...veri simple veriiiiiii...simpoooooo!!

aminia mzee japo ulininyima kadi mzeya tuko pamoja sana mzee,,endelea kutung'arisha tuh.

kanumba this blog is good, nice work mkuu wa kitengo,,see u soon at the place, BITEBO HAIR DESIGNERS MPO JUUUUU!!!PAMOKO.