Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 19, 2010

Some of the Behind the Scene (Family Tears)


Briton and Charles


Asteria and Charles


Asteria and Briton in one of the Scene

13 comments:

kabwela said...

Kanumba vipi bwana umerudisha Wema ndani ya kazi zako?huyu demu jamani labda mtamu sana !!inamaana kila anayemhonja tuu hataki kuachia.Lakini kanumba uwe macho kama umerudiana na huyu WEma.

Unknown said...

WEWE NI MKALI WA MUVI ,HIYO FILAMU YA FAMILY TEARS ILIKUWA BOMBA NA YENYE MAFUNDISHO KIBAO,ILISTAHILI TUZO KWA KWELI.ASAJILE

Anonymous said...

mmmh mambo hayo zilipendwa

Anonymous said...

Jamani mimi binafsi no matter what people said on her WEMA anaact vizuri mno kuliko actress wengine wote tz,penye ukwel tuseme hata kama anamapungufu hayo ni ya kibinadamu lakini anajua kuigiza na anavaa uhalisia kama hana akil nzuri.WELLDONE GAL UR STAR

Anonymous said...

JAMANI KAM WEMA UNGETULIA WW NI MZURI SANA LAKINI UNAUCHUJA UREMBO WAKO BADILIKA BINTI ONYESHA UTOFAUTI MWAKA 2010.KILA LA HERI ILA NAZIMIA SANA ACTING YAKO KTK MOVE UKO JUU

pp said...

ahahaha kabwela nakubaliana na wewe Kanumba bado anamzimia wema ,maskini pole,sema bwan huyu kanumba inabidi abadilishe style yake ya kuvaa anavaa utafikiri katoka kijijini jana akapata leo hela leo.

asha said...

mambo jamani,
yani wema wewe ni mkali, anayekutusi anamambo yake,then kama tabia yako mbaya basi watu wote tunatabia mbaya, wakisema kila mtu ataje wapenzi wake hadharani nadhani asilimia 80 ya wa tz ni kina wema, acha kumjaji mtu jiangalie kwanza wewe mwenyewe, mwacheni binti wa watu so kwamba natetea ujinga lkn kila mtu anamapungufu yake, mmemsema sana mtoto wa watu sijui anadam ya kunguni jamani mwacheni apumzike! kuna mtu kasema kama kanumba atarudiana na wema awe macho mapenzi hayana macho kama kurudiana wasirudiane ni wenyewe na mpz yao,sawa sikatai ni wao ni kioo cha jamii lkn wana haki sawa na wa tz wengine, usinambia kwa vile kanumba ni kioo cha jamii ni lazima ampende fulani anatabia nzuri au wema anatabia mbaya ni lazima awe mtu flani, ni yy na maisha yake, wema nakupongeza dada unajua ku-act hakuna mtu anapendeza kwenye muvi kama wema hapa bongo, anayekuja juu ni elizabeth gupta wa bba, tuwa wakweli jamani acheni mtima nyongo ndo maana wa tz hatuendelei, tuache roho ya kwanini, big up wema.

Anonymous said...

kanumba ampende wema asimpende ni yeye, wewe mwenyewe unaemponda akija utamkataa???????????

tuwe wakweli jamani, WEMA MZURI ANALIPA. ANAENDANA NA KANUMBA,

achani majungu.

Oho mara kanumba hajui kiingereza, oho mara hili, kuweni wa kweli.

BIG UP KANUMBA
BIG UP WEMA.

Anonymous said...

ukweli lazima mtu useme na kizuri husifiwa,kwa kweli wema ni mkali, nilikuwa cjawahi kuangalia hizi movie za kibongo but niliona hiyo family tears wema kacheza vizuri sana na nilipenda bt nimeulizia nyingine aliyocheza karibuni cjapata.anajua sana.BIG UP GAL!

Anonymous said...

demu bomba kinoma,angalia paja hilo,mtoto kaumbika kwa kweli

Anonymous said...

FAMILY TEARS KWELI ILIKUWA BOMBA INGAWA MIMI BINAFSI SIPENDELEI SANA UKATILI NA MAUAJI KWENYE FILAMU. KWA UPANDE WA WEMA SHE IS A GOOD ACTRESS LAKINI NADHANI ALIFANYA VIZURI ZAIDI KWENYE FILAMU YA 'RED VALENTINE' KULIKO FILAMU NYINGINE YOYOTE AMBAYO AMESHAIGIZA.

machuma said...

steve acha utani, Wema alikushika masikio au unasemaje! hahahaaa

Anonymous said...

THIS WAS ONE HELLA COOL MOVIES FO SHO IT GOTTA ALOTTANTEACHINGS N I THINK WE SHOULD STOP JUDGIN A BOOK BY IT'S COVER CUZ JESUS MADE IT CLEAR THAT WHO HAS NO SIN LET THEM THRO A STONE ON HER SO PLIZ LET WEMA B AIN'T NO BODY Z CLEAN 2 JUDGE HER.....WHO THE HELL DO WE THINK BARAKA ZA MWENZIO UCZILALIE MLANGO WAZI THAT'S HER N I LOVE IT THAT SHE'Z BEIN HER....GURL U ROCK KIP IT REAL......LOL...