Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 29, 2010

Misri yafanya Kufuru, yaikongomeka 4'Oclock Algeria.


Timu ya mafarao wa Misri imemalizia mzunguko wa nusu Fainali kwa Kuibamiza timu yenye upinzani wa jadi ya Algeria kwa jumla ya Mabao yasiyopunfua 4 magoli yaliyowekwa kimiani na Hosni Abd Rabou, Mohamed Zidan, Mohamed Abdelshafi na Gedo.

Hivyo basi timu ya Misri na Ghana zitakutana katika mchezo wa fainali utakaofanyika siku ya jumapili ya tarehe 31 mwezi huu Luanda.

....Fainali zijazo Tanzania lazima tutinge FAINALI, Amini, Usiamini. wadhungu wanasema, "From zero to Hero".

1 comment:

Anonymous said...

Hivi kanumba kwanini hizi movie zenu mnaziweka kwenye computer ?Yani mimi naona kama itawasababishia kutopata soko vizuli,,,mimi nimeshangaa kuona hii movie uliyotoa juzijuzi tu ya Pastol village kwenye google.Nivigumu kununua movie ambayo unaiona kwenye mtandao imezagaa .