Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 21, 2010

Jamani Mshika Dau mwenzetu nae kafungua Blog yake...


Dada vaileth Mhinga ambaye ana saluni yake maeneo ya Gongo la Mboto amefungua Blog yake ambayo itakuwa inaelezea masuala ya urembo na maisha mbalimbali ya akina dada katika masuala ya urembo. Tushirikiane katika kuangalia mambo yahusuyo urembo hasa akina dada... Kazi kwenu!
tunaweza kumpata kupitia anwani ifuatayo:

http://beautytouchdar.blogspot.com

4 comments:

Anonymous said...

asijali,
ushirikiano ameupata, tunampenda sana

Anonymous said...

tupo pamoja dada violet
unajuwa watu wanashindwa kutambua kuwa baadhi ya blog huwa ni nzuri na zinasaidia sana, jamii na hata familia
mfano una tatizo ukishaliweka wazi tu! tatizo lako basi mwenye blog akilitoa tu watu wakushauri, utapata ushauri wa bure na mzuri.
big up mama tupo pamoja
Mdau

Unknown said...

kamua matonge ! hizo staili za ALI KIBA ,KULA BABA....

Hailaty Ahmad said...

yaani kanumba ile movie yako ya magic house imeleta mambo mwanangu anakuogopa ile mbaya yaani ni mbishi kula tukimwambia kanumba huyo anakuja haraka anakula haendi chumbani mwenyewe anasema kuna kanumba akiumia ukimuuliza nani amekuumiza anasema kanumba!