Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 23, 2010

Swahiba wangu TINO aja na Movie mpya (WILLY WOODS)


Swahiba hapa akiwa mkao wa kula


Jamani huyu Sio yule wa Marekani (Tiger Woods)


...Nadhani mtakuwa mshamtambua. Hapa akiwa katika moja ya Scene katika Viwanja vya Golf




..muendelezo wa scene katika filamu ya Willy Woods

...hapa akiwa kwa hawara. oooooooh hoooo sio kiukwelikweli ni kimovie-movie.

Swahiba anaanda movie yake hiyo mpya, mpaka hivi sasa scene karibia zote zimeshamalizika na sasa nadhani kazi itakuwa imebaki kwa watu wa studio katika kuchanganya picha.... kwako mdau, Mnamuona swahiba?




4 comments:

Yusuph said...

Jamaa anajua kuigiza lakini poda zimezidi jama duuuuh ha ha ha ha.Hebu nitafutieni jibu la hili swali Wave + Scrub + Mask + Poda = yani hata sielewi.Kwanini msiwe na professional make up artists mtu kama Maya yuko pale May fair kama sijakosea anaweza akasaidia lakini huyu jamaa you can tell ni poda tupu yani kapambwa hata wakina dada hawapambwi hivyo.He is no natural.Haya hii ni challenge nyingine najua unaweza usiipublish coz unaniona hater ha ha ha.Enjoy Guys

Anonymous said...

hi
Kanumba

hope uko poa,

kwakweli make up ni noma anaefanya make up awe anatofautisha anapomfanyia make up mvulana na msichana . siwezi kumlaumu mwenye picha bali namlaumu mtu aliyefanya make up sababu anatakiwa kuakikisha kilakitu kipo sawa ndio mtu anatoka sasa hivi kama ndio ofisi wateja tutakimbia maana unaweza kupeleka mtu akafanyiwe make up akitoka pale picha zote vituko,

USHAURI: KAKA/DADA IPENDE KAZI YAKO..........

Anonymous said...

DU MAPOUDAAAAA!HIVI NYIE VIJANA WA KITZ BILA KUJIPAMBA HAKIELEWEKI.KWA UFUPI JAMAA AMECHUKIZA ANGETOKA NATURAL HE IS HANDSOME BOY.CJAPENDA NA KWENYE FILAM AKIJIPAMBA HIVI ATATISHA WATOTO WATADHANI MJ KAFUFUKA NI MTAZAMO TU ILA KWA ACTING NAMWAMINIAAAAAAA YUPO JUUUUU

Anonymous said...

Wandugu powder imakolea ni soo. urembo wa mwanamume katika movie si uzuri wa movie husika, jamani hata masikini katika movie ana wave kichwani, cream la kufa mtu usoni mikono imekomaa. ACHENI HIZO