Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 14, 2010

Nadia Buari a.k.a "BEYONCE"


Nadia Buari a.k.a Beyonce Mbali na kuigiza pia ni Mchumba wa mwanasoka wa Chelsea Michael Essien


Hapa akiwa na Essien


...Hapa akiwa na Van Vicker

3 comments:

Anonymous said...

Hapo tu ndio unaponiacha hoi, Kanumba. Why you've gotten 'low self esteem'?? WE ndio kinara wetu wa bongo, kwa nini uwazimie waghana. Badala ya kuwaelezea kina Brad Pitt, unawafagilia wapopo??? Daaaaaaaaaaaaaaamn.

Anonymous said...

Kanumba bwana...mimi sisemi ya BBA, wewe acha watu wachonge, cha msingi wewe endelea kujifunza Kingereza, najua pale UK embassy wanatoa kozi mbalimbali, ukweli ni kuwa, kwa ujumla sisi kama watanzania English inatupiga chenga nadhani sababu kubwa ni sababu majumbani na sehemu nyingine nyingi hatutumii English, hata mimi nilipofika hapa ilinibidi nifanye kazi ya ziada. Kwenye gemu yenu hiyo, unahitaji kuongea Kingereza kizuri na cha kueleweka. Hongera mzee mzima. By the way, Nadia na Essien waliisha achana kitambo

Anonymous said...

nakuona mwanawane mwenyewe uko ndani ya hollywood si mchezo.hongera zako bwana.hapo amekosekana sabrina komandoo na sherry.hehehe


dada.