Wahenga walisema hata bubu maji yalipomfika shingoni alisema,kila mara kupitia gazeti hili huyu jamaa amekuwa akitoa habari hizi za kipumbavu na kijinga eti akinilalamikia kwa mambo ya kipumbavu na aibu ambayo sijawai kufanya na sitarajii kufanya,tafadhali wewe muhusika naomba ujiheshimu maana ukimya wangu unamanisha kuwa nakuheshimu na sidhaani kama tunajuana kivile hadi ufikie hatua hii,zipo njia nyingi za kutafuta umaarufu na kupromote kazi zako bila ya kujipeleka ktk gazeti eti utolewe kwa skendo na mtu fulani,mbona mimi sijawai hata dakika kukuzungumzia popote kwanini umeng'ang'na na mimi tu?tafadhali naomba uniache na uendelee na kazi zako kama mimi nilivyobusy na kazi zangu.Asante kwa kuwa mstaarabu..Steve kanumba.
6 comments:
Kanumba bro!, pole sana kwa yanayokusibu....watu wa namna hyo wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya wenzao wapo wengi sana, mie naomba nikukumbushe tu mpendwa wangu, kwamba ur very famous figure(celebrity) in our growing country - na hilo halizuiliki bila shaka unalitambua, ila usisahau kwamba kuwa celebrity kuna changamoto kadha wa kadha mbele yako, hiyo hapo juu ni moja wapo, kuharibiana na kuchafuana ktk vyombo vya habari. Chamsingi ni kuendelea kumuomba mungu akupe ujasiri ili ukabiliane nazo, never give up, piga moyo konde na sema maneno haya : nayaweza mambo yote ktk yeye anitiaye nguvu, Filipi 4:13. Ni mimi mdau/shabiki wako - Delhi, India
kaka hapa mjini kila m2 ananjia zake za kutafutia umaharufu na bila kujali kuwa maybe anakuumiza au la. Pole kaka na hongera kwa kutumia busara ktk hili.
Pole kanumba hawa global publishers naona wamekuandama kweli.we funga kioo mguu kwenye bati.Prince Dello
piga kazi mkaka wewe ni star wanataka kupita mgongoni mwako nani huyo mbona hajulikani mjini dida
pole sana Kanumba hiyo kawaida wala isikutishe we kaza buti tu watachoka wenyewe!
waonyesha kwamba hapa ni mwanzo mwisho bado
wala usikonde unapoandikwa ingawa inaumiza ila hawajui kuwa ndio wanakuongezea mashabiki kila siku maana wengine hawakujui wakisoma hapo wanatafuta kazi zako wanazinunua wala usikonde kaa kimya mwisho wa siku watachoka wenyewe
Post a Comment