Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 13, 2011

HAPPY BIRTHDAY SINTAH......

Katika ukumbi wa Quality center ndipo ilipofanyika birthday party ya msanii mwenzetu wa siku nyingi tangu Kaole sanaa group SINTAH..


The great na Sinta(birthday girl)

Aunty Ezeckiel nae alikuepo....


popote mashabiki wapo tu....


mambo ya mduara.....

Richard nae alikuepo....


Utani kidogo....


The great,Sintah,Richard


Ilikuwa furaha sanaaaa,asante Sinta kwa mwaliko..

3 comments:

Anonymous said...

lol kwa minuso ckuwezi ulianzia kwa sherehe ya sintah then kwa tito the same day.

Anonymous said...

dah! huyo jamaa wa juu picha ya tano kwenda juu kwenye mduara.... naona alipania kwelikweli kushika makalio maana naona kayashika saana atakuwa alikuwa na uchuDu!

Anonymous said...

Hivi jamani huyo mdada amefichwa wapi lol amekuwa kimya sn yaani sijamsikia siku nyingi mnooo

meggie impostra