Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 13, 2011

MECHI YA BONGO MOVIE CLUB KATI YA MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA ILIVYOFANA,NA MASHABIKI WA SIMBA KUIBUKA WASHINDI KWA BAO 2 NA WA YANGA-1

Bongo movie kabumbu leaders club

mapumziko wakati simba washaweka bao moja tayari

wa simba wakiwa mapumzikoni lakini tayari walishaweka bao moja kipindi cha kwanza

mshindi alichukua kombe hili

Mashabiki wa yanga katika picha Wema na Maya

Mainda sijui viti vilikwisha au ndio kuchosha Pentzel

Washindi...

Sauda akimhoji mwenyekiti wa mipango wa bongo movie club

Furaha ya Gwantwa..

Mbali na mshindi kuchukua kombe lakini pia alichukua pesa hao wa Simba.

Hapo lawama kidogo nani kasababisha tumefungwa?

interview kama kawa kwa JB

Baadhi ya walezi wetu wa club ambao nao walikuja kuona mpambano lakini pia kujua maendeleo ya club,kutoka kushoto ni mlezi mama Lola masai,anaefuata ni mlezi Musa Katabaru.

3 comments:

Anonymous said...

Ila kanumba na wewe hujipendi kama super star hutakiwi kuwa unarudia nguo ktk kila occasions, ebu angalia ktk party ya Jide umevaa shart n suruali iyo iyo umeenda nayo ktk Show ya mboni. Also nguo ulizo vaa ktk party ya Sinta ndizo ulizo vaa ktk harusi ya Tito. Nguo zako ni nzuri bt try to wear them on a specific occasions i mean uwe na nguo maalum kwa labda party ya kawaida na big party apo utakusaidia kutokuwa unarudia nguo ila wewe naona hujipangii some thing which is not good especially 2 a superstar like u.

we unafuatilia nguo au shughuli ya mtu,mwisho ufuatilie nguo ipi ya ndani kavaa,hovyooooo