Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 2, 2011

THE GREAT APEWA ZAWADI TOKA ZANTEL....
Kutokana na ushirikiano mzuri nilionao na kampuni hii bora kabisa ya simu ya ZANTEL kupitia matangazo kadhaa niliyofanya nao kama KONGA NYOYO,TWANGA KOTE KOTE na TWANGA ZAIDI,leo nimepewa zawadi ya simu aina ya blackBerry yenye huduma zote kuanzia internet ya miezi 3 na vocha kibao ili nisibeep bali nitwange nikiwa na special number toka Zantel....Nashukuru sana ZANTEL nazidi kuahidi kufanya kazi nanyi kwa nidhamu na ushirikiano zaidi.Asante... The great nikisalimiana na Lilian toka Zantel
Kwa niaba ya ZANTEL dada Lilian akielezea furaha ya Zantel juu yangu kwa ushirikiano tulionao.
Nikikabithiwa zawadi yangu
Furaha tu
ZANTEL juu juu juu zaidiiiiiiiii
The great humo kuna special number yako,simu blackBerry yenye internet na bbm,vocha nyingi tu,kadi yako ya highlife n.k......ahahahh ACHENI KUBEEP TWANGA HASA UKITUMIA ZANTEL....

7 comments:

Aidan M Leonce said...

hongera sana kaka
hi kanumba na mimi nimekuwa na follow blog yako sana sasa ni wakati wako plse follow me at Http://aidanleonce.blogspot.com/ akhsante

Anonymous said...

u just a gud boy,u deserve.. work hard son

Anonymous said...

Hongera kaka.All the best.

Anonymous said...

hongera sana kaka.

Anonymous said...

lakini kanumba unapenda sana nguo nyeusi! tukio la oxfam nyeusi na hiyo tena?

Anonymous said...

hongera sana uitunze tu hiyo cm kama ukumbusho

meggie impostra
moro

Anonymous said...

We are truely proud of you. Ur great