Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 13, 2011

MSANII TITO ALIPOCHUKUA JIKO NA KUFANYA HARUSI KUBWA MSASANI BEACH CLUB

Ilikuwa jumamosi....


Tito akiwa na mkewe na wapambe huku mkewe tayari tumbo limeshashibaaaa


The great nilipata nafasi ya kuwapa nasaha zangu


Niliombwa kupiga sebene kidogo nami nikafanya hivyo na kumuinua bwana harusi kidogo tucheze wote


Joti nae akasogea tushindane basi ikawa balaaaa


Kisanola yeee....

9 comments:

Anonymous said...

daaah ujue Kanumba your a comedian u knw that! hiyo picha ya mwisho na Joti me hoi mbavu zinachomoka kwa kicheko safi sana.....

Anonymous said...

Kwa mtu Maarufu kama wewe Unavaa vazi moja kwa shughuli mbili tofauti ni aibu.Jitahid kuwa makini na dressing code.

Anonymous said...

Ahah ahah me hiyo ya joti ningependa nione japo clip yake...!!

Anonymous said...

saaaaafi sana brother Kanumba imependeza kwa kweli !!!!!!

Anonymous said...

ndo yale yale waliyokuwa wanasema u-turn blog, nguo hizo hizo ulizovaa kwenye party ya tinah ndo umevaa kwenye harusi ya tito, au ni siku tofauti

Anonymous said...

najua joti ndio atakua alikushinda

Anonymous said...

uwiiii sitaki kuchekaa mieee


meggie impostrar

baby said...

hata akivaa nguo moja kila siku wewe inakuhusu nini???????/ unampangia unavyotaka wewe au ni wivu unawasumbua,, mshindwe na mlegee kanumba my brother big up.

Anonymous said...

Saidi umesema kutu cha maana sana. Wewe angalia habari au kama huwezi kafanye shughuli nyingine,hivi kwanini watu tunakuwa na akili za kukosoa tu na sio kujenga. Kama unafikiri Kanumba amekosea kaanzishe cha kwako alafu uone ugumu wake.
Kanimba brother endelea mbele usifuate ya wakaanga sumu!